Elections 2015 Prof. Mwandosya: Richmond na Escrow wakatwe urais CCM

Tukubaliane mambo ya msingi.Madhambi serikalini ni mengi na yalikuwepo tangu wakati wa Rais wa kwanza.Nashangaa watu wanasema Escrow,richmond lakini kashfa ni nyingi buzwagi,Nyumba za Oysterbay na kwingineko,Meremeta ,IPTL,Songas,Aggreko,Kufa mashirika 90% ya umma yaliyokuwepo ,Kashfa ya ununuzi wa meli TACOSHILI,Ununuzi wa ndege mbovy za ATCL 1980 , ukodishwaji wa uwanja wa KIA ,nk. Sasa inaonekana hapa anashambuliwa mtu mmoja tu thats not fair.Kama tuna nia ya kweli tuchambue yote yaliyowahi kuturudisha nyuma halafu kama kuna kiongozi safi hata mmoja toka chama tawala

una akili sana mkuu.
 
Hivi Pharaoh anaongelea ufisadi wa Prof. Mwandosya kama kinga ya ENL au kwa sababu ufisadi wake upo? Kama kweli upo ulisubiri Prof. azungumzie Richmond na ESROW? Kama asingemgusia Richmond na ESCROW asingekuwa Fisadi. Kumbe kukaa kimya juu ya ufisadi ni aina ya rushwa pia. Prof. anyamaze ili kuogopa Pharaoh asije akasema mabaya yake.
Nadhani watanzania wa aina ya Pharaoh ni hatarizaid kwa sababu wanaweza kuficha mabaya ya watu kwa sababu na mabaya yao hayasemwi. Hawazungumzii mabaya ya mtu yeyote ili mradi na ya kwao hayasemwi na mtu. Wanazungumza baya au zuri la mtu kwa manufaa binafsi siyo kwa manufaa ya Taifa. Hawamjadili mtu kwa maana atatufaa vipi kama Taifa bali ananyamazia vipi mabaya ya wenzake. Dhambi ya mtu wao wanataka isafishwe kwa dhambi ya mwingine. Ni kama mchezo wa watoto wa darasa la kwanza 'kama umenikanyaga na mimi nakukanyaga
Unaongelelea vipi hii hapa chini kuhusu Mzee Mwandosya kama ilivyoletwa na Mkuu Pharaoh
 
Mzee anarusha mawe akiwa kwenye nyumba ya vioo? Si ajabu anajiona yeye ufisadi wake aliufanya uvunguni na watu hawajui.Haya sasa Mzee Mwandosya sema suuu watu waanze kutiririka na yako.

Na ile kampuni ilyokuwa Celtel kumlipia mwanawe fee ya chuo nakumbuka ilikuwa issue kidogo au nimesahau?
 
Kati ya watu ambao huwa hawaniingii ni huyu Mzee na sijuhi kwanini ..alafu CCM mbona mnatuletea wazee sana jamani?

Hapo huko fair kabisa....... Ngoja nikukumbushe.......Mwigulu, Kigwangwala, Mwele na hata yule Kijana Wa Mzumbe
 
Yeye Mwandosya alilipwa na Rwanda aitulize Tanzania kuhusu Bunge la EA kuhamia Kigali, pia Makao Makuu ya EA Business teyari wamehama na yeye atalipiwa matibabu ya Gonjwa lake India hadi anafariki, mfadhili ni Kagame.
Ununuzi wa Radar, yeye kachukuwa USD 200,000. Abishe vyote ili tufunguke zaidi.

Usisahau alivyoiuza TTCL kwa bei sawa na Bure
 
Lowassa ni mwizi tu Bunge lilithibitisha akatoka na uwaziri mkuu!kama siyo mbona ameshindwa kukanusha kama alivyo waahidi watanzania Siku ya kutangaza nia? mpaka sasa hajatumbia kwanini hakusema! Hata kama utaona mimi sifai kwakuwa sikubaliani na maelezo yako meeeengi ni sawa tu,hayo ndiyo madhara ya kushabikia vitu bila kufikiri na matokeo yake umekuja na maelezo meeeeeeengi kuelezea jambo ambalo hata halielezeki!

pia huyo unaye mtetea ni kibaka tu ! / kama vibaka wengine / hakuna msafi hata mmoja ndani ya CCM except late MWL JKN
 
Yeye Mwandosya alilipwa na Rwanda aitulize Tanzania kuhusu Bunge la EA kuhamia Kigali, pia Makao Makuu ya EA Business teyari wamehama na yeye atalipiwa matibabu ya Gonjwa lake India hadi anafariki, mfadhili ni Kagame.
Ununuzi wa Radar, yeye kachukuwa USD 200,000. Abishe vyote ili tufunguke zaidi.

HUYU MZEE ANAONEKA NI MTII NA MNYENYEKEVU KUMBE NI HATARI SANA!/ HII INAITWA INFLICTION TO NATION KUWEZA KURUBUNIWA NA MTU WA TAIFA LINGINE,BADALA YA KUSIMAMA NA TAIFA LAKO,
***------>>>This is bad,bad,bad,worsest ever! unahongwa na taifa lingine kuhujumu taifa lako!?/mwl nyerere sijui angempa ADHABU GANI HUYU?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom