Prof. Mwandosya kugombea Urais 2015

Prof. Mwandosya kugombea Urais 2015

Yes. Anaweza kutuvusha mpaka kaanani. Lowasa jambazi na ni mgonjwa
 
Narudia kuweka Rekodi sawa, Wagombea Ndani ya CCM ambao wanaweza kushindana ni Lowasa na Wasira wengine wanasindikiza.
 
Mojawapo ya vichwa vya magazeti leo,ni kuongezeka kukubalika kwa Professor Mark Mwandosya katika urais .je wadau Huyo anaweza shndana na El katka mbio hizo kw tkt ya Ccm?

Kwa mwaka huu hata babu yangu kule kijijini nyota yake itangara kwa urais.
 
Mwaka huu tunataka Rais wa umri wa kati miaka ya kinamwandosya hapana,Lowasa,membe,slaa na wengine wenye umri kama huo hapana.

Unaongea ukiwa kama nani na kwa niaba ya nani hayo mambo yenu pelekeni hukooo lumumba na mazombi yenu tuacheni na UKawa yetu huu mwaka mtavimbiwa sana.
 
Labda presidential candidates wasifanyiwe vipimo vya AKILI

Hahahaaaa mlishaambiwa mtu mwenye akili ya mb 8 huwezi kudadavua ya mwenye gb 20 upo na wewe ni mmoja wao kusoma mali sana.
 
Hivi bado kuna mtu tz angependa kuona ccm inatawala? Huu ni mjiza namba 4.labda mungu atuhurumie tu.c watz bongo lala.
 
Ndugu yake na zi
tto. Akipata urais, zitto atakuwa waziri mkuu wake wapige milioni kumi kumi!
 
Mwaka huu tunataka Rais wa umri wa kati miaka ya kinamwandosya hapana,Lowasa,membe,slaa na wengine wenye umri kama huo hapana.
Tunataka mtu mwenye uwezo! Wakati wa Jk tulidanganywa hivyo hivyo kuwa ni kijana matokeo yake ni serikali dhaifu, wizi, ufisadi, mauaji ndio zao la kijana!
 
Mwandosya ni KIONGOZI ana VISION. Sio mtu wa kupayuka payuka na kubahatisha mambo.
 
Mwaka huu tunataka Rais wa umri wa kati miaka ya kinamwandosya hapana,Lowasa,membe,slaa na wengine wenye umri kama huo hapana.

Umri unakusaidia nn kama hao unaowataka nao mawazo yao hayatofautiani na wazee usiowataka???
 
Back
Top Bottom