Prof. Mwandosya amchana Mkapa

Prof. Mwandosya amchana Mkapa

hii ndo maana halisi ya kuwa profesa,asante Prof.Mwandosya,sasa unasubiri nin wahi unachelewa,,wanasema toroka uje.
 
Mzee Mwandosya ukiachilia mbali u profesa wake pia Mungu kamjalia hekima Sana
 
nngu007

kitumbua gani wkt yeye ana uhakika wa stahili zake kama rais mstaafu?
 
Last edited by a moderator:
mkapa anamjuwa sumaye viizuri piya ni Hugo Hugo hakumtaka lowasa. hakyna geni ccm ikipita watajileta tena kwani na uzee uko jamani
 
Mwandosya nimeamini ni Profesa halali Tanzania akifuatiwa na mwenzie waliosoma pamoja pale Ud Prof Mayo mjasiriamali wa Real Estate kule Changanyikeni.

Mayo ukimuita Prof Mayo anaweza kukupiga!

Yeye anapenda aitwe Prof. Dr. Mayo!
 
At least ndani ya chama chawala kuna wachache bado Wana akili
 
We mtoto wa 86 Prof. Mwandosya anakuwaje schoolmate wako.

Hata mtoto atakayezaliwa kesho anaweza kuja kuwa school mate wake endapo tu atasoma shule aliyoisoma Prof Mwandosya.

Classmate ndiyo suala lingine hapo...
 
Back
Top Bottom