Mkapa nilimuamini na kumheshimu kama Kiongozi bora kati ya wengi waliowahi kuwepo, lakini alichokifanya inanifanya nikubali kuwa UKAWA wapo sahihi kusema kwamba katika ccm hata angelishuka malika kutoka mbinguni baada ya muda angejikuta amekuwa SHETANI MKUBWA. haya yamedhihirika mapema. Hatuitaki ccm kwakuwa mfumo wao umeshindwa kushughulikia matatizo ya nchi kutokana na mawazo mgando yasiyotambua kuwa mtoto wa juzi, jana, leo na kesho wanatofautiana ki-fikra. Bora waachie nchi watu wengine tuipange nchi upya na si kulazimisha wakati wameshinda. Mtu akiajiriwa na baadaye kushindwa kutimiza malengo ya mwajiri ni sharti ataachishwa kazi, hivyo tutawaachisha kazi hao mamwinyi kina MKAPA wote na kisha kuwapa malofa ambao ni sisi UKAWA na kisha wapime speed. Good day sir and every one!!!!!!!!!!