Prof. Mwajabu Possi wa UDSM aula TBC


Ni dada yake Prof. Mlacha wa UDOM
 
Inamaana wale waliokuepo awali wamepigwa chini.wakina prof mgombello?

Salva alikuwepo na bado yupo
Mshana yupo kama DG na Zanzibar Mitawi nadhani yupo tena wengine siwajui mnaweza kuleta list ya zamani ?
 
Acha zako, mwache muislamu mwenzetu afanye kazi yake...
 
Hongera sana Prof. Mwajabu Possi....Waislamu tukipewa tunauwezo wa kuongoza
 
Masuala ya Habari hayapo katika mambo ya muungano. Mjumbe namba (viii) Mkurugenzi wa habari idara ya Zanzibar anateuliwaje kuwa kwenye chombo/bodi ambayo haihusiki na mambo ya Muungano?

Mkuu hii ndo Tz..ndo maana Mwinyi ni waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Wizara ambayo si ya Muungano
 
Do they have any records of accomplishment? Mbona ni recycling kama kawa
 

Yeye anaweza akawa na mawazo mazuri. Ila hao wajumbe vipi? Mimi siwajui.
 
Kwenye hiyo list ya wajumbe wa bodi, mbona namba (ii) haipo? Wamekosea kuweka namba ama kuna mjumbe wamesahau kumweka? Hii ndio Tanzania.

Labda kulikuwa na jina lillilokuwa limependekezwa awali lakini taarifa za kiintelijinsia zikaonyesha hafai au hakidhi viwango, wamekata!!!! Halafu Tangazo lenyewe halina saini ya msemaji, labda ni first draft, ikija ile final itakuwa imekamilika, tuvute subira!!! Ni hisia tu, sina source!!!
 
Reactions: SMU
jamani Gachuma wa nini tena hapa, mafisadi wanaotemwa

na wananchi kwao ndo chakula, Gachuma hakubaliki hata kidogo...........wizi mtupu
 
Jamani mnapopata post mkumbuke na washikaji,cheki wajumbe wa hii bodi wangapi wantoka mlimani alipokuwepo waziri! Serikali ya ulaji hii! Du !
 

????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????
 
Masuala ya Habari hayapo katika mambo ya muungano. Mjumbe namba (viii) Mkurugenzi wa habari idara ya Zanzibar anateuliwaje kuwa kwenye chombo/bodi ambayo haihusiki na mambo ya Muungano?

Nampongeza sana Pro.POSSI, ni mama mbunifu sana na mchapa kazi - Hongera sana. Mama chairperson naona kama kuna kosa la kiufundi limefanyika katika uteuzi wa baadhi ya members i.e Nadhani uteuzi wa Mkurugenzi kutoka Zanzibar si sahihi, habari inahusikana kivipi na Masuala ya muungano, wamu-incorporate katika masuala ya kutoa ushauri kama kuna ulazima lakini not otherwise.
 
And so what? Kwani pale UD kuna maprofesa wangapi ndugu, tena wapo waliooana... inamaana wasipewe vyeo kama wana qualify?... jitahidi na wewe uwe prof upate cha kwako... utaishia kuhesabu ndugu tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…