Prof. Mukandara amepanda texi leo (Big up!)

anakwenda kwenye mchepuko wake hataki inzi na stk yenu!
 
Mtu kupanda taxi tu mjadala?? Kwani Mukandala ni nani?
 
Nimefurahi kuona bado kuna watu wanaojali jasho la walipa kodi kwa kuto tumia mashangingi yanayobugia mafuta ovyo na infact yana-cost pesa nyingi sana za wavuja jasho. big up.., kudos Mukandara..!!
Wanasiasa bwana, mbona hata akina Kigwangala na akina Kinana wanapandaga bajaji?Wewe kwa akili zako unafikiri eti wamepanda kutoka moyoni?Thubutu yako utaendelea kusifia mvua na itakunyeshea tena ile ya mawe kwa taarifa yako
 
Kwani nae anautaka urais?
 
Mtu kupanda taxi tu mjadala?? Kwani Mukandala ni nani?

Labda nikowatajawafuatao utamjua

Dr. Ibrahim Kaduna

Mr. Nicholas Kuhanga

Prof Geoffrey Mmari

Prof. Mathew Luhanga. endelea utamkuta mbele
 
Labda nikowatajawafuatao utamjua

Dr. Ibrahim Kaduna

Mr. Nicholas Kuhanga

Prof Geoffrey Mmari

Prof. Mathew Luhanga. endelea utamkuta mbele

Hivi huu uongozi wa chuo unakuaga miaka mingapi mingapi per term..?
 
we ulishamuona akichepuka????
 
Labda nikowatajawafuatao utamjua

Dr. Ibrahim Kaduna

Mr. Nicholas Kuhanga

Prof Geoffrey Mmari

Prof. Mathew Luhanga. endelea utamkuta mbele

Sina maana kwamba simjui,,!!
 
Yani ajiandae!2kuridi chuo wana Udsm 2nakufa nae!mpaka sasa wiki inaenda ya 5 ha2japata hela ya field!Halafu kashirikiana na waliomuweka ku2sainisha fedha hewa!
 
Yani ajiandae!2kuridi chuo wana Udsm 2nakufa nae!mpaka sasa wiki inaenda ya 5 ha2japata hela ya field!Halafu kashirikiana na waliomuweka ku2sainisha fedha hewa!
Sasa kwanini uli-sign..?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…