FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,786
- 46,902
Am not sure.., sijui huwa anatumiaga nn cku zote.., ila leo nimemuona ndani ya teksi.., maybe ndio utaratibu wake wa cku zote..leo tu ama ?
Actually nilivomuona taxi ilikuwa inaenda maeneo ya M/city..., pengine we ulimuona wakati anarudi.., Kalipa laki!! bullshit!!Hiyo taxi kapanda Mlimani City kuja utawala, kalipa 100,000/=
Umerogwa. ???? Ungesema baiskeli au bodaboda ningekuelewa. Unajua ataandika amemlipa mwenye taxi bei gani ? Mwenzio hakosi kuandika lakhi saba wewe kwa uzuzu wako unaona kupanda taxi ni cost cutting. I am sorry for your small mind and big head full of bones.
Unataka kusema nini..?! anamchepuko M/city au..??!Vilevile ajiulize je yaliyomsukuma kutumia huo usafiri ni mema?
Je ni kweli alikosa kabisa gari au dereva toka UDSM?
Nimefurahi kuona bado kuna watu wanaojali jasho la walipa kodi kwa kuto tumia mashangingi yanayobugia mafuta ovyo na infact yana-cost pesa nyingi sana za wavuja jasho. big up.., kudos Mukandara..!!
Kwani kimefichwa nini.., sasa asipande texi.., we ulitaka atumie gari ya office ili kila mtu ajue kaenda kufanya shopping..??!.....nina mashaka na huo uamuzi....(hiden information):hail:
Unataka kusema nini..?! anamchepuko M/city au..??!
Hhahahahahahaha..., daaaaa.., ebana poa mkuu..., yaan anatumia nyavu haramu za kokoro..??! anatege vitu laini teketeke...., ahahahahahahahahah!!!Francis you reason like a small boy. The question here is money my young brother. Mchepuko utafuatwa usiku watu wakisha jaza petty cash vouchers. Yule sio mjinga afuate mchepuko M.city wakati kwake ni nyuma ya Arthi institute. anapokutana na mchepuko hutomwona wewe japo anachepuka na vitu laini na vidogo yaani anatega na kokoro
Hhahahahahahaha..., daaaaa.., ebana poa mkuu..., yaan anatumia nyavu haramu za kokoro..??! anatege vitu laini teketeke...., ahahahahahahahahah!!!
Am not sure.., sijui huwa anatumiaga nn cku zote.., ila leo nimemuona ndani ya teksi.., maybe ndio utaratibu wake wa cku zote..