SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,753
Wakati taifa linaelea juu juu kwa matokeo ya Kidato cha 4 ya mwaka 2012 nilitegemea Mwenyekiti huyu wa bodi ya NECTA aseme lolote but sijamsikia akiongea lolote au ndo bora liende? Wewe ni msomi, mtawala & Mtafiti mzuri sana unaheshimika Tanzania na Duniani kote kwa machapisho yako (Vitabu, Makala ktk Majarida ya Wasomi) lakini mbona upo kimya pamoja uozo ambayo taasisi yako unayoongoza bodi yake (NECTA) imetuhumiwa?