kitambiheshima
JF-Expert Member
- May 27, 2013
- 452
- 116
Mwenyewe. Na tutaandamana kupinga hilo jembe kuwajibishwapumbavu
Huko huko anakowachoma vijiti tigoni ndiko ataendelea kufanya kazi ili mshike adabu, hii siyo nchi ya wachaggaMpeni uongoz kwenye chama chenu kama anafaa
Hata kama ingekuwa buku ngapi, Muhongo tutamtetea kwa damu na jashoSawa kapokee buku 7
Eti tunachezea shilingi chooni upuuzi, hivi Muhongo amekuwa waziri malaika kuwa bila yeye Tanzania haitakuwepo, Tanzania ilikuwepo bila Muhongo na itaendelea kuwepo bila Muhongo, kama Muhongo ni shilingi yako acha itumbukie chooni tuone kama tutakufa.Ndugu zangu watanzania wenzangu, tunaweza kusema chochote na lolote juu ya Prof. Muhongo. Tunaweza kukubaliana na mapendekezo ya PAC ya kutaka atimuliwe kwenye nafasi anayoitumikia. Ni sawa kwakuwa wengi wetu tumeaminishwa hivyo. Waswahili wana usemi usemao ukitaka kumpiga mbwa mwite kwa jina lake ili usimwonee huruma. Prof.Muhongo kiukweli anazushiwa tu, hakuna mahali ripoti ya CAG imeonesha Muhongo kuchukua hata senti tano ya escrow lkn jamaa walivyomkomalia!!.Kama kilivyosema hapo juu, ninarudia kwamba tunaweza kumfanya lolote Prof. Muhongo lakini tujue kuwa yeye ni kama shilingi inayochewa kwenye tundu la choo!Siku si nyingi mara baada ya kupoteza uwaziri, tutaanza kusema bora Muhongo, bora Muhongo. Itakuwa too late! Muhongo. Mimi nasema, tumpe nafasi nyingine Muhongo
Ndugu zangu watanzania wenzangu, tunaweza kusema chochote na lolote juu ya Prof. Muhongo. Tunaweza kukubaliana na mapendekezo ya PAC ya kutaka atimuliwe kwenye nafasi anayoitumikia. Ni sawa kwakuwa wengi wetu tumeaminishwa hivyo. Waswahili wana usemi usemao ukitaka kumpiga mbwa mwite kwa jina lake ili usimwonee huruma. Prof.Muhongo kiukweli anazushiwa tu, hakuna mahali ripoti ya CAG imeonesha Muhongo kuchukua hata senti tano ya escrow lkn jamaa walivyomkomalia!!.
Kama kilivyosema hapo juu, ninarudia kwamba tunaweza kumfanya lolote Prof. Muhongo lakini tujue kuwa yeye ni kama shilingi inayochewa kwenye tundu la choo!
Siku si nyingi mara baada ya kupoteza uwaziri, tutaanza kusema bora Muhongo, bora Muhongo. Itakuwa too late! Muhongo. Mimi nasema, tumpe nafasi nyingine Muhongo
Utaandamana mwenyewe na Tibaijuka.Mwenyewe. Na tutaandamana kupinga hilo jembe kuwajibishwa
hata kama ingekuwa buku ngapi, muhongo tutamtetea kwa damu na jasho
Ndugu zangu watanzania wenzangu, tunaweza kusema chochote na lolote juu ya Prof. Muhongo. Tunaweza kukubaliana na mapendekezo ya PAC ya kutaka atimuliwe kwenye nafasi anayoitumikia. Ni sawa kwakuwa wengi wetu tumeaminishwa hivyo. Waswahili wana usemi usemao ukitaka kumpiga mbwa mwite kwa jina lake ili usimwonee huruma. Prof.Muhongo kiukweli anazushiwa tu, hakuna mahali ripoti ya CAG imeonesha Muhongo kuchukua hata senti tano ya escrow lkn jamaa walivyomkomalia!!.
Kama kilivyosema hapo juu, ninarudia kwamba tunaweza kumfanya lolote Prof. Muhongo lakini tujue kuwa yeye ni kama shilingi inayochewa kwenye tundu la choo!
Siku si nyingi mara baada ya kupoteza uwaziri, tutaanza kusema bora Muhongo, bora Muhongo. Itakuwa too late! Muhongo. Mimi nasema, tumpe nafasi nyingine Muhongo
Uzembe maana yake nini, kwamba alijua akina askofu KILAINI amelamba? Toeni pumba zenuu hapaThink out of the box; Muongo akaanzisha wizara yake awe waziri wa maisha. swala sio kupata mgao bali uzembe katika kusimamia maslahi ya Taifa; kulidanganya Bunge na taifa na evil arrogance katika kuhudumia wananchi; unakumbuka kauli yake kuhusu wawekezaji wazawa?! hii nchi sio mali8 yake arudi akahudumie miamba anayoweza kuelewana nayo; sio binadamu; ya huku juu ya ardhi hayawezi.