Prof. Muhongo ni mtu makini ninayemjua

- Sasa umekuja kujibu hewa ina amana wewe ni nini mkuu sana? ha! ha1 ha1 eti unaweza kumlinganisha Muhongo na Mnyika? ha! ha! ha!

Le Mutuz System

Le Mutuz hawa vijana wengine huwa wanagonga viroba ndio wanakuja JF, wasikuumize kichwa.
 
Hana lolote huyo.
Kaingia madarakani na gia ya kuwadharau watanzania, kwa hilo hatutamsamehe.
Hajui yeye ni sanaki na sisi ni maji, hawezi ogelea bila wananchi.
Inaelekea kasoma sana lakini hilo limemwongezea ufinyu wa hekima sahihi za kisiasa.
 
Reactions: BAK

Kamdharau mtanzania yupi? Kwani sio kweli kuwa hakuna Matanzania mwenye uwezo wa kutafiti gas na mafuta?
 
Kumlinganisha Prof. Muhongo na Ngeleja ni kulinganisha mbingu na jehanamu. Ngeleja was a total mess, upeo wake kwenye sekta hii ulikuwa ni mdogo sana, ukiongezea na tamaa yake ya kutaka utajiri, utaona kuwa alikuwa janga kubwa.

Unataka kusifiwa hata unapofanya mambo ya kudhaulika?

Namsifu sana Prof. Muhongo kwa kuwa mtu jasiri. Ni kiongozi mwenye uwezo wa kusema kisu ni kisu na kijiko ni kijiko. Kuna ubishi gani kuwa hakuna hata kampuni hata moja au mtanzania hata mmoja kwa sasa mwenye uwezo wa kutafiti gas? Mengi kashikilia viwanja vya dhahabu zaidi ya 20, kashindwa kutafiti, sahizi anasema anataka kutafiti gas! Ameshindwa kupata $20 milioni kutafiti dhahabu, atawezaje kupata $500 milioni kutafiti gas? Kutafiti gas au mafuta kwenye kina kirefu cha bahari siyo lelemama, hata hayo makampuni ya nje ni machache sana yenye uwezo huo. Vile ni vitalu vya kutafiti gas siyo vitalu vya gas. Unaweza kuitumia $500 milioni ukatafiti ukakuta hakuna.

Hana lolote huyo.
Kaingia madarakani na gia ya kuwadharau watanzania, kwa hilo hatutamsamehe.
Hajui yeye ni sanaki na sisi ni maji, hawezi ogelea bila wananchi.
Inaelekea kasoma sana lakini hilo limemwongezea ufinyu wa hekima sahihi za kisiasa.
 
Mkuu kweli umefunguka,lkn kumbuka hata mzee wako alikua kiongozi siku za nyuma,nae tumuweke kwenye kundi la viongozi wabovu?
 
Kaka kumbuka muhongo hajaletwa wizarani kama mwanasiasa bali kaletwa kama mwanasiasa.
Kama kawaida yenu wanyarukolo mliozoea siasa ni lazma mtamuona muhongo ana dharau.
 
Kaka kumbuka muhongo hajaletwa wizarani kama mwanasiasa bali kaletwa kama mtaalam.
Kama kawaida yenu wanyarukolo mliozoea siasa ni lazma mtamuona muhongo ana dharau.

huyo ni mwanataaluma sio mwanasiasa.
 
Kamdharau mtanzania yupi? Kwani sio kweli kuwa hakuna Matanzania mwenye uwezo wa kutafiti gas na mafuta?
Muhongo hajui yuko pale kwa ajili gani.
Ingekuwa wakati wa uguru angeuwawa kwa kudai watanganyika hawako tayari kujitawala!
 
Mkuu kweli umefunguka,lkn kumbuka hata mzee wako alikua kiongozi siku za nyuma,nae tumuweke kwenye kundi la viongozi wabovu?

Haaa! haaa!

Yani ni shida sana kuwa na mtoto huyu. anatafuta uadui sana na watu direct ambao hanauwezo nao (kama hapo kamtaja Mkono)

Narudi tena ni shida kuwa na mtoto huyu,
Bro John pole yako.
 
]Kaka kumbuka muhongo hajaletwa wizarani kama mwanasiasa bali kaletwa kama mwanasiasa.[/B]
Kama kawaida yenu wanyarukolo mliozoea siasa ni lazma mtamuona muhongo ana dharau.
Hapo bold sijakuelewa!
Hata hivyo usimtetee huyo jamaa ni msomi tu, na siyo proffessional engineer wala geologist.
Zaidi ya kukalia mabuku na classification ya rocks , hana track record yoyote kwenye industry yenyewe.
 
Reactions: BAK
Prof.amekata mirija ya wezi waliokua wanakula mpaka wanakomba mboga! Kampuni ya uwakili ya yule babu mwenye kikofia chekundu kuna wakati iliitetea Tanesco na wakati huohuo ikawa inaitetea Dowans. Matokeo yake Tanesco ikashindwa kijanja janja! Tanzania imeliwa kweli kijanjajanja!
 
Ni mawazo kama hayo ambayo basically ni ya kijinga, kujidharau mwenyewe halafu uondoe umasikini.
Jitahidini kuondoa umsikini wa mawazo kwanza kabla ya kuthink big.

Tatixo ukishazoea mwanga wa koroboi mtu una ridhika, na kufikiria kuweka transformer kijijini kwenu unaona ni swala la wazungu!

Nikuulize kama unafikiri kwa mawazo yako kuwa $500 nile fedha nyingi, hizo ni nyingi keako kwa wewe mwenye udhaifu wa uthubutu.
 
Reactions: BAK
le mutuz leo umeongea vzr sana. hapa tz kama kuna mtu anasema muhongo hafanyi kazi, mtu huyo atakuwa mbulula na mpinga maendeleo kabisa. muhongo ndiye waziri pekee ambaye hapa tz mimi namuona ni mkweli, anaongea kama mtu aliyeko 21st centuary, he's genuine, sio muongo na anajua anachokifanya. kama tukiwa na mawaziri kama hawa tutapiga hatua. tuachane na wabinafsi waliotuibia na kutunyonya kwa miaka mingi kwa kivuli cha kujifanya kutetea watz. big up prof. muhongo, big up mwakyembe na magufuli.hao ndio mawaziri wanaoeleweka hapa tz.
 
Hana lolote huyo.
Kaingia madarakani na gia ya kuwadharau watanzania, kwa hilo hatutamsamehe.
Hajui yeye ni sanaki na sisi ni maji, hawezi ogelea bila wananchi.
Inaelekea kasoma sana lakini hilo limemwongezea ufinyu wa hekima sahihi za kisiasa.
Mkuu, hebu weka hapa dharau yake kwa Watanzania.

Watanzania tumezoea kudanganywa ndiyo maana tukiambiwa ukweli tunaanza kulalamika.

Hiyo wizara kabla ya Waziri Muhongo ilikuwa inanuka rushwa. Hata suala la IPTL imelikuta na alipoanza kurekebisha kwa kuwatoa watu ambao walikuwa wanatengeneza na kutumia matatizo ya wizara kisheria katika kuendeleza ulaji wao, kwa sasa wameanza kutafuta madhaifu mengine, mojawapo ni hii hoja ya kusema amewatukana Watanzania kama vile yeye siyo Mtanzania. Prof. Muhongo is blowing away the cobwebs.

Prof. Muhongo siyo mwanasiasa na mbaya zaidi, siyo mwanadiplomasia.

Watu kama Mbunge Mkono na kampuni yake ya Mkono & Co waliifanya TANESCO kama shamba ya mjinga kwa kutengeneza mazingira ya uwepo wa kesi mbali mbali ili waendelee kupata pesa.

Siyo uongo, TANESCO kuna matatizo yanayosababishwa na competing interest ambazo zilikuwa zimejisimika kwenye mzizi wa TANESCO. Kwa sasa anachofanya ni kuuondoa huo mzizi. Prof. Muhongo kwa sasa ni mti wenye matunda ndiyo maana unapingwa sana na watu waliokuwa wananufaika bila kutoa jasho na kutengeneza usawa.
 
Inawezekana anachokisema au anachokipanga Prof. Muhongo ni kizuri sana ila mkuu, kwenye ground katika ngazi ya utekelezaji (Hasa gharama za kuunganishiwa umeme) bado ni huduma ni mbovu na gharama ni kubwa. Pengine ni kwasababu ya urasimu!!!!
 
Komenti yako imekaa kipombepombe.
 
Ni pesa nyingi sana, kwa mujibu wa Forbes huo ndo utajiri wa Mengi, akitaka kwenda kutafiti kitalu auze kila kitu alicho nacho, akikosa gas anarudi kupanda dala dala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…