Prof. Muhongo ni mtu makini ninayemjua

Prof. Muhongo ni mtu makini ninayemjua

Asenga wa Pakaya

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2012
Posts
260
Reaction score
61
Pamoja na changamoto zote zinazomkabili waziri huyu katika wizara yake ama kwa hakika ukilinganisha na waliopita utaona kwamba anajitahidi sana katika madini kwa wachimbaji wadogo na umeme vijijini.

Sasa kijijini mtu akiuza kuku wake watatu tu anaweka umeme ipo haja ya kumpongeza waziri huyu,kila asemacho kina hoja na ushahidi,,tusihukumu kwa kuangalia na kusikia upande mmoja.

Nenda prof watanzania makini tupo nyuma yako.
 
Attachments

Mkuu nakubaliana na wewe asilimia zote. Huyu anapigwa na akina Silvio Berlasconi wa Bongo (Mengi) na vyombo vyao vya habari. Kwenye suala la gesi yupo sahihi kabisa. Watanzania tumiliki kupitia TPDC na sio mawakala matapeli ili wanufaike wao na familia zao. Wakishiba ndio wapeleke makombo pale Diamond Jubilee huku Tv zao zikiwafagilia sana. Yule wa Mtwara inatoka gesi anapata nini kwenye makombo ya Diamond Jubilee?
 
Prof anapigana vita nzito,lakini kama kweli watanzania tunahitaji kusonga mbele ni vyema Prof huyu akaungwa mkono,ameleta mabadiliko makubwa sana ktk upande wa umeme na kamwe asibezwe.

Prof anasema "TUFANYE KAZI KWA UADILIFU, BIDII, WELEDI, NA USHIRIKIANO BILA KUKATA TAMAA. DAIMA TUSONGE MBELE KURUDI NYUMA NI MWIKO!!"
 
Assenga , faili lako na Juliana bado hazijafungwa pale Urafiki polisi , una mpango gani kufuatilia ? Ni kuhusu kunani himo kwenye gari aina ya Nissan ......
 
Prof anapigana vita nzito,lakini kama kweli watanzania tunahitaji kusonga mbele ni vyema Prof huyu akaungwa mkono,ameleta mabadiliko makubwa sana ktk upande wa umeme na kamwe asibezwe.

Prof anasema "TUFANYE KAZI KWA UADILIFU, BIDII, WELEDI, NA USHIRIKIANO BILA KUKATA TAMAA. DAIMA TUSONGE MBELE KURUDI NYUMA NI MWIKO!!"

Ameshakukatia ili uanze kumsafisha kupitia jf?
 
Pamoja na changamoto zote zinazomkabili waziri huyu katika wizara yake ama kwa hakika ukilinganisha na waliopita utaona kwamba anajitahidi sana katika madini kwa wachimbaji wadogo na umeme vijijini.

Sasa kijijini mtu akiuza kuku wake watatu tu anaweka umeme ipo haja ya kumpongeza waziri huyu,kila asemacho kina hoja na ushahidi,,tusihukumu kwa kuangalia na kusikia upande mmoja.

Nenda prof watanzania makini tupo nyuma yako.

Wewe ndio upo nyuma ya huyo mtu jeudi na hasiye na heshima kwa watanzania.
 
Huo umeme uko vijiji gani nimetembea vijiji vya tarafa ya nyanja huko kwao sijaona umeme labda wenzangu mnaishi Mars.
 
Prof anapigana vita nzito,lakini kama kweli watanzania tunahitaji kusonga mbele ni vyema Prof huyu akaungwa mkono,ameleta mabadiliko makubwa sana ktk upande wa umeme na kamwe asibezwe.

Prof anasema "TUFANYE KAZI KWA UADILIFU, BIDII, WELEDI, NA USHIRIKIANO BILA KUKATA TAMAA. DAIMA TUSONGE MBELE KURUDI NYUMA NI MWIKO!!"

Muhongo ni master of deception wajinga wajinga kama wewe hamuwezi kumshitukia.
 
Mkuu nakubaliana na wewe asilimia zote. Huyu anapigwa na akina Silvio Berlasconi wa Bongo (Mengi) na vyombo vyao vya habari. Kwenye suala la gesi yupo sahihi kabisa. Watanzania tumiliki kupitia TPDC na sio mawakala matapeli ili wanufaike wao na familia zao. Wakishiba ndio wapeleke makombo pale Diamond Jubilee huku Tv zao zikiwafagilia sana. Yule wa Mtwara inatoka gesi anapata nini kwenye makombo ya Diamond Jubilee?

Hakika wewe ni mtumwa, kuwadi wa wazungu kwa mgongo wa TPDC.
 
Pamoja na changamoto zote zinazomkabili waziri huyu katika wizara yake ama kwa hakika ukilinganisha na waliopita utaona kwamba anajitahidi sana katika madini kwa wachimbaji wadogo na umeme vijijini.

Sasa kijijini mtu akiuza kuku wake watatu tu anaweka umeme ipo haja ya kumpongeza waziri huyu,kila asemacho kina hoja na ushahidi,,tusihukumu kwa kuangalia na kusikia upande mmoja.

Nenda prof watanzania makini tupo nyuma yako.

Nakubaliana na wewe,muhongo amefanya vizuri ukilinganisha na ngereja,siku hizi migao ya umeme ya kijingajinga haipo na gharama za kuunganisha umeme zimeshuka sana,wakati wa ngereja nguzo moja ilikuwa sh mil 1,sasa hivi ni kama sh elfu 98,nampongeza muhongo hapendi longolongo za kifisadi,
 
Hakika wewe ni mtumwa, kuwadi wa wazungu kwa mgongo wa TPDC.

Kwa hiyo wewe ulitaka nani ndo awe kuwadi wa Wazungu wewe? Hata ukimpa kitalu Mengi ataenda kutafuta wazungu kama alivyofanya kwenye Dhahabu, ni heri TPDC iwe kuwadi tutafaidika wengi, kuliko mtu mmoja atakayefaidika yeye na fammilia yake halafu anaenda kulisha maskini siku moja
 
Pamoja na changamoto zote zinazomkabili waziri huyu katika wizara yake ama kwa hakika ukilinganisha na waliopita utaona kwamba anajitahidi sana katika madini kwa wachimbaji wadogo na umeme vijijini.

Sasa kijijini mtu akiuza kuku wake watatu tu anaweka umeme ipo haja ya kumpongeza waziri huyu,kila asemacho kina hoja na ushahidi,,tusihukumu kwa kuangalia na kusikia upande mmoja.

Nenda prof watanzania makini tupo nyuma yako.

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
 
- Prof. Muhongo ndio kiongozi wa kwanza kuonyesha wazi jinsi Tanzania ambavyo tumekuwa tukiongozwa na viongozi wabovu kwa muda mrefu na kuwakumbatia, kumbe kuna matajiri hapa mjini walikuwa wanaitumia sana wizara hii kutuibia wananchi, tunaambiwa kuna mbunge mmoja ambate ni mwanasheria alikuwa wakili wa Tanesco na IPTL kwa wakati mmoja katika scheme hiyo amefanikiwa kuchota Shillingi Bilioni 52 za wananchi ambazo pia aliwahi kuwagawia Chadema wasiende kwenye jimbo lake,

- Prof. Muhongo unamlinganisha na nani kwenye Cabinet ya sasa na ya zamani? Lakini kwa sababu tulishazoea sana kuongozwa na Viongozi wezi wababishaji msema ukweli na mfuata haki Muhongo anakuwa tatizo kwa wezi sasa wanaanza kutumia vyombo vyao walivyovipata kwa njia za wizi wa pesa za wananchi kumchafua Muhongo, uzuri ni kwamba tupo wananchi ambao akili yetu ipo sawa I mean sober, so hatuwezi kuona Muhongo anaonewa wala kushautumiwa kwa majungu na ujinga ujinga, tutawajibu tu mpaka mwisho!!

- Prof. Muhongo for Presidency!! 2015

Le Mutuz System
 
Watz MUNGU atuponye kwenye akili zetu hivi mtu unae jitambua unaweza ukamsifia prof. mwenye dharau na kiburi kama huyu kwa watz.Hivi zile b.200 tusiseme kwa 7bu kaweka umeme vijumba viwili kijijini tena kwa kodi zetu,halafu zingine zinaliwa huko ewura na mtu ananyongwa aa sorry anajinyonga tusiseme kisa wanyumbani kama kangi alivyo badilika, kifupi kumsifia mtalaamu wa miamba dunia Afrika ni ujinga.
 
Wewe ndio upo nyuma ya huyo mtu jeudi na hasiye na heshima kwa watanzania.

watanzania tunapenda mteremko sana,ktk hii dunia hakuna maendeleo yaliyopatikana kwa kupaka rangi kucha,hata uhuru wa hii nchi kuna watu wametoa damu zao.
tumwache Prof akomae na mwisho wa siku tutafika tutakako,kama mnataka kuila nchi basi subirini wakati wenu hapo atakapo achia ngazi Prof atawapa tu ofisi na mtakuwa huru kufanya mtakacho,ila kwa sasa tunasema NO ,prof komaa nao
 
Muhongo ni master of deception wajinga wajinga kama wewe hamuwezi kumshitukia.

hata kama mimi ni mjinga,lakini tunaona ni vyema Prof muhongo na kama mnahitaji kuiba basi subirini Prof aondoke ofisini then mtafanya mtakavyo,ila kwa sasa tunasema NO.
Ni vyema ukampa pombe mlevi aionje atakueleza radha yake ,kuliko kumpa asiyekuwa mlevi aionje pombe yako anaweza kulewa na akashindwa kukueleza kama pombe ipo okay ama la
 
Watz MUNGU atuponye kwenye akili zetu hivi mtu unae jitambua unaweza ukamsifia prof. mwenye dharau na kiburi kama huyu kwa watz.Hivi zile b.200 tusiseme kwa 7bu kaweka umeme vijumba viwili kijijini tena kwa kodi zetu,halafu zingine zinaliwa huko ewura na mtu ananyongwa aa sorry anajinyonga tusiseme kisa wanyumbani kama kangi alivyo badilika, kifupi kumsifia mtalaamu wa miamba dunia Afrika ni ujinga.

- Wewe eti unamtuma darasa la saba Mnyika kujibu bejti ya Muhongo, badala ya kutoa alternative budget yeye anasomea mipasho, ndio maana mtakuwa mawaziri vivuli mpaka mwisho wa dunia yenu na mtakalia majungu majungu na umbeya tu, hoja hamna mkipew ahoja kususia na kuzisha UKAWA, pole sana ila dunia ya sasa ni wenye elimu tu ndio wataendelea kuwatwala darasa la saba!1

Le Mutuz System
 
tutamkumbuka kwa kazi iliyotukuka anayoifanya Prof. Muhongo. mungu ampe umri mrefu ili aendelee kulisaidia taifa hili.
 
- Wewe eti unamtuma darasa la saba Mnyika kujibu bejti ya Muhongo, badala ya kutoa alternative budget yeye anasomea mipasho, ndio maana mtakuwa mawaziri vivuli mpaka mwisho wa dunia yenu na mtakalia majungu majungu na umbeya tu, hoja hamna mkipew ahoja kususia na kuzisha UKAWA, pole sana ila dunia ya sasa ni wenye elimu tu ndio wataendelea kuwatwala darasa la saba!1

Le Mutuz System

Sijaona hoja hapo
 
Back
Top Bottom