Emma.
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 19,932
- 5,570
Habari.za ban, wazima.huko
Salama bhana Prof.Muhongo yuko wapi?
Habari.za ban, wazima.huko
Wewe binafsi umewahi kushuhudia majina ya waliopokea fedha kupitia benki ya stanbic?acha kudabganyika wewe watu wamevuta akiwemo profesa mwenyewe kutoka china.
Najua hajapata kwa sababu hatujaonyeshwa kielelezo chochote kuwa kahongwa kitu chochote, unaelewa maana ya endorsement wewe, acha kupika majungu usiyoyaaamini we kilaza
Wanaohojiwa sasa ni walipewa hela na Rugemalira tena hela ambazo hazikustahili kuhojiwa kwakuwa Rugemalira alipewa hela za mauzo ya hisa zake na aliempa alitakiwa kumpa hela kutoka mfukoni kwake wala si za Escrow na wala Rugemalira hakupaswa kujua aliempa hela kazitoa wapi.Tunaotaka wahojiwe ni wale waliopewa Hela kutoka kwa Singh kupitia Stanbic.Tena Rugemalira baada ya kuuza hisa zake alilipa kodi.hivyo alikuwa na uhalali Wa kumpa yeyote.HAPA TUNATAKA KUJUA MAJINA YA WALE WALIOPEWA HELA KULE STANBIC TUONE KAMA MUHONGO HAYUPO,PINDA HAYUPO NA HAO WENGINE
Hayakusaidii wewe na mafisadi wenzako ila sisi.watanzania tunaotambua mbinu zenu chafu, tutaendelea kulijadili jembe hili, kama anakukera pita kuleeeeeeeee humu chungulia tu, ila angalia usijechungulia pasipochunguliwa
Mimi sio fisadi bali wewe ndiekuwadi wa mafisadi kama huyo professor wako,na tutaendelea kuwaambia ukweli nyie makuwadi wa mafisadi uchwara,kalalamike kwa raisi wako ambaye ndie aliyemteua na kumtosa,shukuruni Tanzania sio China,saa hizi mngekuwa mnasaga meno,pelekeni ujinga wenu nyumbani kwake huyo mnayempigia kelele kila kukichwa ,ni aibu kwa wanaume wazima kuja kushupaa hapa kwa mambo ambayo hayawezi kurudiwa tena,Muhongo keshakuwa historia mpenda au msipende tumeshamsahau,cheo ni dhamana,wala Muhongo hakuzaliwa waziri ,uwaziri ameukuta na ile wizara ipo hata kabla hujazaliwa kwa hiyo acha kulilia hapa.
Mkuu unaposema Prof. Muhongo ni kuwadi wa mafisadi bila kuonyesha namna ya Ukuwadi huo inanitia shaka juu ya uelewa wako! Mara nyingi tumeona watu wasafi ndio wanapakwa matope, kama CAG na PAC hawakuonyesha kosa la Prof. Muhongo! Hapo napata uelewa kuwa wewe ni kuwadi wa Mafisadi unayetumwa kupaka matope watu wasafi kama Muhongo.
kama yeye mchapakazi mbona hayupo kazini??? angekuwa jembe pap wasingelipwa hela za uma kizembe zembe kama walivyolipwa..
Mimi sio fisadi bali wewe ndiekuwadi wa mafisadi kama huyo professor wako,na tutaendelea kuwaambia ukweli nyie makuwadi wa mafisadi uchwara,kalalamike kwa raisi wako ambaye ndie aliyemteua na kumtosa,shukuruni Tanzania sio China,saa hizi mngekuwa mnasaga meno,pelekeni ujinga wenu nyumbani kwake huyo mnayempigia kelele kila kukichwa ,ni aibu kwa wanaume wazima kuja kushupaa hapa kwa mambo ambayo hayawezi kurudiwa tena,Muhongo keshakuwa historia mpenda au msipende tumeshamsahau,cheo ni dhamana,wala Muhongo hakuzaliwa waziri ,uwaziri ameukuta na ile wizara ipo hata kabla hujazaliwa kwa hiyo acha kulilia hapa.[/Q
Hahahahhhaa ungemsahau.ungekuja hapa kuandika upuuzi usio na.ushahidi, unalikubali kuwa lile ni jembe, asiyepokea rushwa, alijiuzulu ili muendelee na shughuli za maendeleo mana kila kukicha hamtaki.kwenda kazini kisa mnazooooooooza kuhusu MUHONGO, the future leader of our country,. Ok endelea kutoa stress zako kwenye hii thread
Tuwe wakweli kama IPTL-PAP sio fedha yao! Umeme waliozalisha walitoa sadaka? Hapa hoja ya msingi ni wale waliopokea fedha waeleze ni za nini? Lakini ukweli utabakia kuwa fedha ya IPTL haikuwa ya Umma.
Immeacha kummonita mpaka unaulizia yuko wapi hhahhahaahaha! Mnaogopa mpaka kivuli chake wezi wakubwa nyie
Habari wanajamvii, katika zoezi linaloendelea sasa la kuhoji viongozi waliojipatia mgawo wa rugemalira, profesa muhongo hataguswa na zoezi hilo kwani hakupokea pesa kutoka kwa mtu yeyote. Hii inaonesha kuwa profesa huyu alihujumiwa ili kung'oka katika nafasi ya uwaziri, je watanzania tutakubali kuendeshwa na siasa hizi za chuki na maslahi binafsi mpaka lini?
Nani anayemwogopa dalali Muhongo?
mtoa mada acha ushabiki wa kijuha. muongo hakuchukua fedha lakini zilichotwa kwenye wizara aliyokuwa akiiongoza na alikuwa mstari wa mbele kutetea wezi. hapo kosa lake hujaliona? notorious twit!