Wanaohojiwa sasa ni walipewa hela na Rugemalira tena hela ambazo hazikustahili kuhojiwa kwakuwa Rugemalira alipewa hela za mauzo ya hisa zake na aliempa alitakiwa kumpa hela kutoka mfukoni kwake wala si za Escrow na wala Rugemalira hakupaswa kujua aliempa hela kazitoa wapi.Tunaotaka wahojiwe ni wale waliopewa Hela kutoka kwa Singh kupitia Stanbic.Tena Rugemalira baada ya kuuza hisa zake alilipa kodi.hivyo alikuwa na uhalali Wa kumpa yeyote.HAPA TUNATAKA KUJUA MAJINA YA WALE WALIOPEWA HELA KULE STANBIC TUONE KAMA MUHONGO HAYUPO,PINDA HAYUPO NA HAO WENGINE
Ulitegemea aseme alilazimishwa? Ha! Kauli za mkata tamaa. Alikuwa ni kiporo kilicho chacha. He had no option.
Wewe binafsi umewahi kushuhudia majina ya waliopokea fedha kupitia benki ya stanbic?acha kudabganyika wewe watu wamevuta akiwemo profesa mwenyewe kutoka china.Mkuu mbona unalazimisha sana, alishasema jina lake halipo mahali popote hata hiyo bank unayoisema.
Team shetani Muhongo kaziniWaambie PAC wakupe majina, vinginevyo MUHONGO ni mtu safi, mchapakazi, muadilifu, na.mwenye msimamo
Yeye kama msimamizi alishindwa kusimamia majukumu yake,angekuwa hana makosa asingelazimishwa kujiuzuru,nchi haiwezi kusimama sababu ya Muhongo.Kuzidi kutuletea hapa mambo ya Muhongo eti tuyajadili ni kutupotezea muda ,tuyajadili kwa faida ya nani na tujadili ili iweje?maji yashapita chini ya daraja hayarudi tena.Kama mna uchungu kalalamikeni kwa aliyemteua,na aliyemteua ndio kamuondoa ,raisi wa nchi hii kulingana na uwezo aliopewa kikatiba anaweza kuteua mtu na kutengua uamuzi wa kumteua bila ya kumshirikisha au kumshauri mtu yoyote.Ndio maana tulikuwa tunalilia rasmu ya Warioba na hao hao akina Muhongo,Tibaijuka ndio walikuwa wa kwanza kuipiga teke,leo wametupwa nje ndio wameanza kuona ubaya wa hiyo rasimu,kumbe hawa viongozi wetu hawaangalii maslahi ya nchi bali ya matumbo yao na jamaa zao.Acha kutuletea tujadilimambo ambayo yalishatolewa maamuzi,kwa sasa haisaidii chochote.
Prof.Muhongo amefia wapi?Hayakusaidii wewe na mafisadi wenzako ila sisi.watanzania tunaotambua mbinu zenu chafu, tutaendelea kulijadili jembe hili, kama a ra pita kuleeeeeeeee humu chungulia tu, ila angalia usijechungulia pasipochunguliwa
Waambie PAC wakupe majina, vinginevyo MUHONGO ni mtu safi, mchapakazi, muadilifu, na.mwenye msimamo
Mleta mada ni mwehu.Habari wanajamvii, katika zoezi linaloendelea sasa la kuhoji viongozi waliojipatia mgawo wa rugemalira, profesa muhongo hataguswa na zoezi hilo kwani hakupokea pesa kutoka kwa mtu yeyote. Hii inaonesha kuwa profesa huyu alihujumiwa ili kung'oka katika nafasi ya uwaziri, je watanzania tutakubali kuendeshwa na siasa hizi za chuki na maslahi binafsi mpaka lini?
Weka ushahidi mezani acha ukunguru. Mpika majungu