Prof. Muhongo kung'oka kabla ya Bunge kuanza

Prof. Muhongo kung'oka kabla ya Bunge kuanza

Status
Not open for further replies.
Akazifanye kwani kuna mtu kamzuia ila huku kwenye uwaziri hatumtaki

Haumtaki wewe peke yako na Boss wako Mengi na Mkono, lakini wengine wanamtaka. Ebu jiulize swali, Hivi Mengi angepata Vitalu vya Gesi na Mkono bado angekuwa mwanasheria wa Tanesco hadi leo ? Ungemjua Muhongo au escrow? Huoni kuwa Mengi ni Mnafiki mkubwa?
 
Acha unanga wewe. Prof Muhongo yupo kwa maslahi ya Watanzania. Nyie mawakala wa mafisadi na madalali mlie tu
Upo sahihi kabisa, Prof. atawasaidia watanzania kuwauzia wawekezaji juice ya miwa na matango, kudadadadeki!
 
''ESCROW haukuwa mradi wa Prof Muhongo, hata mimi (Prof) niliukuta, kwanini nijiuzulu?!''

A very powerful, yet stupid statement kutoka kwa Prof. Muhongo. Yaani ameingia na kukuta kuna pipe ya kupitisha hela za kifisadi, na yeye akaamua aendelee kuchota badala ya kuziba huo mwanya.

Aliona bora huo mwanya wa kupiga uendelee tu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom