chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 12,289
- 25,680
Hao wavuta bangi hawana lolote. Muhongo hatishwi na zero divisions
Umejuaje ni wavuta bangi? Kama wewe si mmoja wao.
Hao wavuta bangi hawana lolote. Muhongo hatishwi na zero divisions
Mwambie mnyika maji ubungo tunayataka mbona hayaji alisema atayaleta yako wapi?"sijawahi kuona Waziri muongo kama Muhongo"-John Mnyika
uwiii njoon muwaone mazezeta huku. rudin darasan mkasome mpate kazi kuliko hiyo buku saba
Maji ni jukumu la waziri mzigo Maghembe...Mwambie mnyika maji ubungo tunayataka mbona hayaji alisema atayaleta yako wapi?
Mwambie mnyika maji ubungo tunayataka mbona hayaji alisema atayaleta yako wapi?
Muhongo anakazi zake nyingi sana za kufanya huko duniani hata akiachia leo uwaziri atarudi kwenda kufanya kazi zake duniani anasubiriwa sana na kuhitajika sana.
Sina haja ya kurudi tena darasani maana nikirudi tena darasani nakuwa Dr sio issue.
Prof Muhongo alishasema hivi, mind you huyu ni Prof hatishii nyau
- Kama rais atamfukuza kazi kwasababu ya sakata la escrow basi ardhi ya nchi hii itatikisika
- Escrow haukuwa mradi wa Prof Muhongo, hata mimi (Prof) niliukuta, kwanini nijiuzulu?!
Kaogopa kutolewa na kina Lema Sugu na Nassary kwa nguvu.
Chezea nguvu ya umma ndani ya Bunge?
Kama alikuwa ni prof mwenye akili na muadilifu anyeipenda nchi yake angekataa hale ya escrow isitoke. Nawangekataa msimamo wake basi angeeaachia ofisi yao.
Muhongo anakazi zake nyingi sana za kufanya huko duniani hata akiachia leo uwaziri atarudi kwenda kufanya kazi zake duniani anasubiriwa sana na kuhitajika sana.
Mwambie mnyika maji ubungo tunayataka mbona hayaji alisema atayaleta yako wapi?
Muhongo anakazi zake nyingi sana za kufanya huko duniani hata akiachia leo uwaziri atarudi kwenda kufanya kazi zake duniani anasubiriwa sana na kuhitajika sana.
Hadhi yake imeshuka sana baada ya kutuhumiwa na ufisadi. Hakuna anayeweza kumsburi mtu wa namna hii.
Tatizo sio kazi tatizo cv kuchafuka