Huyu prof. Muongo yupo Nzega. Ajabu ziara yake ni ya kimya kimya. Hakuna mkutano wa hadhara amekwepa majukumu yake ya kukutana na wananchi waliomuajiri. Naambiwa amekwepa zomea zomea ya Mara isimkute tena hapa Nzega.
Alivyoingia Mara kwa nderemo alijibadilisha akawa Yesu?Ulitaka aingie kwa nderemo kama Yesu alivyoingia Yerusallemu? Watanzania bwana!
Hizo gari zinakimbia...! Taarifa nilizonazo sasa hivi tu alikuwa Ushetu, kaenda Msalala na Kahama mjini sasa hivi tena yuko Nzega? Ndo maana wanapata ajali!
Kwani uliambiwa kila waziri akienda mahala lazima akutane na wananchi?
Acheni unafiki,muhongo hang'oki.
Mara mbona aliingia kwa nderemo?
Hamna kitu kama hicho kuna Clip nyingi mitandaoni, hakuweza hata kuhutubia MARA alizomewa balaa unaweza hata mhurumia (Nashangaa hawa ITV kama kawaida yao hawakuirusha ). Mwizi mwizi mwiziii, tunaomba pesa zetu!!
Hujui? Mikakati ya Kampeni za urais ndizo hizo-Anaumezea mateAmefuata nini? Kumbe hata yeye anaiogopa nguvu ya wananchi? Atokeze kama kweli ana uhakika.nchi inaongozwa kanuni na sheria kama anavyojigamba.