Prof. Muhongo aogopa zomea zomea, aingia Nzega kimya kimya.

Prof. Muhongo aogopa zomea zomea, aingia Nzega kimya kimya.

Hamna kitu kama hicho kuna Clip nyingi mitandaoni, hakuweza hata kuhutubia MARA alizomewa balaa unaweza hata mhurumia (Nashangaa hawa ITV kama kawaida yao hawakuirusha ). Mwizi mwizi mwiziii, tunaomba pesa zetu!!

Mmmh kama hâta ITV hawajailusha sijui kama kuna ukweli hapo
 
Mmmh kama hâta ITV hawajailusha sijui kama kuna ukweli hapo

Jamaa hapo juu anasema eti George Malatu, Mwandishi wa habari ITV kanda ya ziwa kashapigwa Nyumba na sisiem , hivyo habari kama zile anatupia kapuni.

Ila mm nilifanikiwa kuiona fb ikiwa shared na Mohammed Mtoi ebu tafta hili jina fb then angalia Profile yake waweza kuiona ile Clip.
 
azomewe huyo kila kona ya nchi huyo profesa muhongo
 
Back
Top Bottom