Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,180
- 29,913
Dr Mwigullu... kwa maprofesa nguli kama hawa kuhoji, kuna kitu nyuma ya pazia! Ni jukumu sasa la mamlaka ya udhibiti wa elimu ya juu nchini (TCU) kutoa majibu fasaha. Kama kuna michezo wanasiasa wanafanya kuchezea elimu angalau wawili watatu wawe mifano kukomesha hali hii for good!
Afrika professional hailipi zaidi kuliko political mkuu.labda nje ndo career Zina Mana Sana.Kwa mara ya kwanza Muhongo kaongea point. Point kubwa na ya msingi ni kwamba akina Sospeter wangebaki vyuoni kama maprofesa wangekuwa useful zaidi kwenye jamii kuliko walivyoingia kwenye siasa.
... sana! Tena itamke kabisa medium of instruction from lowest to highest levels shall be English (UK). Inabaki jukumu la Serikali kutekeleza.Katiba mpya ni muhimu kwa maendeleo ya elimu ya nchi yetu
hahahahaP engine h ana D egree
... get prepared for 2025!Hizi PhD kwa nini zinasakwa kwa mwendokasi hivi na wanasiasa?
Mkuu siasa ni tamu sana kuliko lubaki chuo unakimbizana na remote directorKwa mara ya kwanza Muhongo kaongea point. Point kubwa na ya msingi ni kwamba akina Sospeter wangebaki vyuoni kama maprofesa wangekuwa useful zaidi kwenye jamii kuliko walivyoingia kwenye siasa.
Ni vitu vya kushangaza sana. Musukuma tunaelewa hiyo takataka ameipata toka kwenye takataka huko India.Prof. Muhongo amewalima akina Doto Biteko na cohort nzima ya PhD ( P engine h ana D egree. Someni wenyewe hapa chini:
"Naomba niwasaidie: comments za Prof Mwandosya zichukuliwe kwa uzito wake unaostahili. Tuko kimya siyo kwamba hatujui ukweli wa ukweli.
Kwa nini msiombe yafuatayo:
1. Abstract of the PhD thesis/dissertation
2. Conclusions or Concluding Remarks of the PhD thesis/dissertation
Mkisoma hayo mtafanya uamuzi wa ubora wa PhD mnazozijadili.
Vilevile, mnaweza kupenda kuwafahamu:
3. Supervisor(s), who is (are) the Internal Supervisor(s)
4. External Examiner(s)
Muhimu zaidi, PhD nzuri itatoa publications kwenye International journals zenye measurable IMPACT FACTORS (IF) ambazo zinaheshimika zitakuwa na range ya O.75-10. Manuscripts zipelekwe huko ziwe published kwenye journals zenye hadhi hiyo ya average to good Impact Factor (IF) or Citation Index (IC).
Mengine yote yako nje ya "the realm of academia."
S Muhongo
17.12.2021"
MY TAKE:
Haya sasa TCU wako kimya kama maji ya mtungi.
Vigezo vya PhD vinabakwa mchana kweupe, wao kimyaaa!
Mkuu si sahihi kufikiria hivyo.UDOM wangepewa Waislamu kama ilivyooiwa Chuo cha TANESCO Morogoro. Hiki ni chuo chenye hadhi ya chini sana.