mark mwandosya

Mark James Mwandosya (born 28 December 1949) is a Tanzanian CCM retired politician and a former Member of Parliament for Rungwe East constituency.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    JamiiForums Tanzania Prof Mark Mwandosya: Gereza ni chuo cha mwanasiasa nguli na madhubuti. Kutoka ni kuhitimu shahada ya uzamivu!

    Na Emily Mwakilembe Katikati ya hofu, kuvunjika moyo na giza la kisiasa, wakati mwingine hutokea mtu anayethubutu kuisema kweli chungu sana, ile ambayo wengi huogopa kuisema. Mwaka 2018, Profesa Mark James Mwandosya alipomtembelea nyumbani kwake Joseph Mbilinyi (Sugu), baada ya kutoka...
  2. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Prof. Mwandosya: Gereza ni chuo cha uanasiasa, kutoka ni kuhitimu

    Katikati ya hofu, kuvunjika moyo na giza la kisiasa, wakati mwingine hutokea mtu anayethubutu kusema kile ambacho wengi wanaogopa kusema. Mwaka 2018, Profesa Mark James Mwandosya alipomtembelea nyumbani kwake Joseph Mbilinyi (Sugu), baada ya kutoka gerezani, aliandika maneno haya: “The...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi hawajui kwamba aliesimamia na kupanga mchakato wa ya Dira ya Maendeleo ya Taifa 2000 - 2025 ni Prof. Mark Mwandosya!

    Mara nyingi nimesoma humu JF watu wakiubeza uwezo wa mtu makini sana hapa nchini, Prof. Mark Mwandosya, na wengi hawajui kwamba uandaaji na upangaji wa Dira ya Maendeleo ya Taifa 2000 - 2025 yeye ndie alipewa jukumu hilo na Raisi Benjamin Mkapa. Sisi tuliokuwa karibu na serikali tunalijua hilo...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kweli duniani wawili wawili, Nape ni kama kopi ya Mwanasiasa Profesa Mark Mwandosya

    Ila sishangai hata Mimi GENTAMYCINE Watu wengi wananiambia nafanana ile mbaya na Bondia Mkongwe Mike Tyson. Pia soma: Nape Nnauye: Nawapa pole na naomba radhi kwa kauli yangu ya ushindi nje ya boksi Nimetoka kuiangalia Clip ya Nape akiomba Radhi kwa Kauli yake ya Goli la Mkono na nikamuona...
  5. CHEF

    JamiiForums Tanzania Profesa Mark Mwandosya kuwa Rais kwa kipindi kimoja, Roho Mtakatifu amenituma niseme

    Nianze kwa kusema tu sina uhusiano wa aina yoyote na Profesa Mark Mwandosya, hanijui kwa jina wala sura pia kwa upande wangu namjui kwa jina na kumuona kwenye picha na video tu hatujawahi kukutana. Ila hii sauti imeanza kuniijia kwa zaidi ya miezi sita sasa niliipuuzia lakini nimeshindwa...
  6. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Prof. Mwandosya ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya EWURA

  7. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Prof. Muhongo amuunga mkono Prof. Mwandosya, TCU kimya!

    Prof. Muhongo amewalima akina Doto Biteko na cohort nzima ya PhD ( P engine h ana D egree. Someni wenyewe hapa chini: "Naomba niwasaidie: comments za Prof Mwandosya zichukuliwe kwa uzito wake unaostahili. Tuko kimya siyo kwamba hatujui ukweli wa ukweli. Kwanini msiombe yafuatayo: 1. Abstract...
  8. Superbug

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu CV za Prof. Mark Mwandosya na Prof. Homeli David Mwakyusa

    Nianze na Profesa Mwandosya Ni mhandisi wa umeme Alisomea Japani Amefundisha vyuo vikuu vingi kwanjia ya video conference kitambo Hakusomea masters ila akawa Prof how? Alikuwa wizara moja na JK enzi za Mwinyi. Wakagombana. Mwinyi akawapatanisha JK alipokuwa waziri akamteuwa kwenye serikali...
Back
Top Bottom