matobholo
Senior Member
- Sep 21, 2016
- 106
- 100
Mkataba wake SUA ulisitishiwa baada ya kumhoji Pinda pale freedom square.Hapana alishastaafu mkuu.. Ni mzee sana sidhani kama atakua alikubali kuongezewa mkataba tena
Yuko vizuri
Mkataba wake SUA ulisitishiwa baada ya kumhoji Pinda pale freedom square.Hapana alishastaafu mkuu.. Ni mzee sana sidhani kama atakua alikubali kuongezewa mkataba tena
Itakuwa umri na mambo yao ya siasa.!Kwanini mkuu?
Sembuche bora sikukumbana naye maana stori nilizokuwa nazisikia kuhusu mahesabu yake ni balaa...!!Mkuu we acha tu....yule baba anajua Hesabu sijapata kuona....ilitakiwa SUA wamuongeze mkataba...hawatakaa waje wampate mwalimu kama yule. Ni mzee lakini hesabu zimapanda utadhani amemeza calculator! Ile kichwa imesoma Warwick University (England).
Haaahaaaa Prof Tarimo A.K.P.R mzee wa Irrigation anakwambia Miradi yote ya Umwagiliaji inakufa kwa kuendekeza siasa badala ya Utaalam.Hili jembe lilinipelekesha kwenye Special Project yanguUmenikumbusha hisia alizo nazo prof. Tarimo.
Katika Dept ya Eng. Pale sua. Inamuuma sana wanasiasa wanapoongea kuhusu miradi mbali mbali ya maji.ambayo mingi imekufa kwa uzembe wa hawa watu.
Hivi na yule Mulengela naye bado hajastaafu?? Alikuwa balaa na Farm Structure yake hahaaahHaaahaaaa Prof Tarimo A.K.P.R mzee wa Irrigation anakwambia Miradi yote ya Umwagiliaji inakufa kwa kuendekeza siasa badala ya Utaalam.Hili jembe lilinipelekesha kwenye Special Project yangu
Prof.M Mulengera alistaaafu na hakutaka upuuzi wa Mkataba yuko zake Kakonko mkoani Kigoma kwenye Mashamba yake.Hataki dhuruma wala kunyima wengine haki.Huyu naye siwezi kumsahau kwenye Waste water na Farm Structures ni jiwe ambalo halihongekiiiHivi na yule Mulengela naye bado hajastaafu?? Alikuwa balaa na Farm Structure yake hahaaah
Hii kichwa ilikuwa nyingine kabisa, ilinisumbua sana na farm structure yake hahahaaah.Prof.M Mulengera alistaaafu na hakutaka upuuzi wa Mkataba yuko zake Kakonko mkoani Kigoma kwenye Mashamba yake.Hataki dhuruma wala kunyima wengine haki.Huyu naye siwezi kumsahau kwenye Waste water na Farm Structures ni jiwe ambalo halihongekiii
Hapana,, Prof. Mlambiti ndo yuko SAUTNani? G.D.C Sembuche?
Mkuu hapo kwenye red naomba nikusahihishe kwamba SUA achana nao kabisa kuna magiwji ya MTH pale hujapata kuona. Kuna vichwa kama Matofari, Kasile, Kazuzuru na vijana wao akina Edwin, Emma n.k yaani ni hatareeeeee!!Mkuu we acha tu....yule baba anajua Hesabu sijapata kuona....ilitakiwa SUA wamuongeze mkataba...hawatakaa waje wampate mwalimu kama yule. Ni mzee lakini hesabu zimapanda utadhani amemeza calculator! Ile kichwa imesoma Warwick University (England).
Anaendelea kutoa maandiko yake kule '"RAIA Mwema" unaweza kukutana naye hukoGabagambi yupo REPOA. Alikosoa government ya Mkwere sasa Nondo hajalibiwi. Aidha Segerea au ukae kimya
Yupo Dr.Karugila kwa MTH yupo vizuri japo unaweza kumuona MTU wa masikhara sana.Lakini kwa hesabu pia yupo vizuri sana.All in all wapo hadi Maprof pale SUA wanatambua uwezo wa Babu Sembuce kwenye hesabu.Mkuu hapo kwenye red naomba nikusahihishe kwamba SUA achana nao kabisa kuna magiwji ya MTH pale hujapata kuona. Kuna vichwa kama Matofari, Kasile, Kazuzuru na vijana wao akina Edwin, Emma n.k yaani ni hatareeeeee!!
Sidhani kama prof. Mlambiti alikuwa hajui Kiingereza kiasi hiki? Labda utuambie tu kwamba hicho umeandika wewe na siyo cha Prof. Mlambiti!Mkuu ki ukweli kuna mwaka alimuuliza mkapa swali pale freedom square.Mkapa what did i told you about re opening rural roads in my proposal?have you tried to sit with your convoy and give us the feedback.lakini wapambe wa rais walilivuruga.Lakini baadae ikaja julikana ya kuwa alimpa some proposal juu ya uchumi wa kilimo.Rais hakuwa na jibu,hakufuata ushauri wa prof Mlambiti.Kile kichwa bwana
Kazuzuru bado yupo? Ee bwana eeh Kazuzuru ni kichwa pia ila hawezi kumfikia Sembuche...kumbuka Sembuche ni mzee lakini anajua hesabu utadhani sio mtanzania.Mkuu hapo kwenye red naomba nikusahihishe kwamba SUA achana nao kabisa kuna magiwji ya MTH pale hujapata kuona. Kuna vichwa kama Matofari, Kasile, Kazuzuru na vijana wao akina Edwin, Emma n.k yaani ni hatareeeeee!!
Mkuu ameandika tu kile anachokumbuka hawezi kukumbuka yote aliyosema.Sidhani kama prof. Mlambiti alikuwa hajui Kiingereza kiasi hiki? Labda utuambie tu kwamba hicho umeandika wewe na siyo cha Prof. Mlambiti!
Sembuche ile ni namba nyingine babu acha kabisa..Yupo Dr.Karugila kwa MTH yupo vizuri japo unaweza kumuona MTU wa masikhara sana.Lakini kwa hesabu pia yupo vizuri sana.All in all wapo hadi Maprof pale SUA wanatambua uwezo wa Babu Sembuce kwenye hesabu.
rekebisha basi mkuuSidhani kama prof. Mlambiti alikuwa hajui Kiingereza kiasi hiki? Labda utuambie tu kwamba hicho umeandika wewe na siyo cha Prof. Mlambiti!
Tatizo mkuu siyo kuandika anachokumbuka,, shida ni kutohoa moja kwa moja kutoka kwenye Kiswahili kwenda Kiingereza. Mkapa, kwenye andiko langu nini nilichokuambia kuhusu kufungua mabarabara ya vijijini? Umeshajaribu kukaa na msafara (sasa hiki ni nini?) wako na kutupatia mrejesho?Mkuu ameandika tu kile anachokumbuka hawezi kukumbuka yote aliyosema.
Kazuzuru mkuu bado yupo anakimbiza MTH kama hana akili nzuri. Kwa kweli kuna mijamaa inajua hesabu hadi unaona wivu!!Kazuzuru bado yupo? Ee bwana eeh Kazuzuru ni kichwa pia ila hawezi kumfikia Sembuche...kumbuka Sembuche ni mzee lakini anajua hesabu utadhani sio mtanzania.