PreGE2025 Prof. Mkumbo mitano tena Ubungo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwa mwendo ule wa "serikali za mitaa" inawezekana kwa 100% ILA uchaguzi halali hata 20% haiwezekani!
 
Kura ni moja Tu Prof Kitila Mkumbo
Ya kwangu ataipata atakapomaliza suala la wapimaji wa ardhi Mabibo Makuburi wanaotuzungusha mwaka wa nne huu bila hati. Maana mnatoa kauli tu hamfuatilii.
 
Wana UBUNGO kwa kauli moja tunaenda na Prof Dr Kitila Alexander Mkumbo (PhD). Barabara za mitaa zimejengwa mfano Manzese, Mabibo, Goba na UBUNGO. Tupewe nini tena?

CCM oyeeee!
Mjumbe mpiga debe JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…