johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,167
- 142,277
Mkurugenzi Mkuu wa NIMR Prof Yunus Mgaya amesema taasisi yake inaifanyia utafiti dawa ya Corona kutoka Madagascar na ikijiridhisha kwamba inafaa basi itaanza kutengenezwa hapa hapa nchini.
Kadhalika Prof Mgaya amewataka watanzania watumie dawa ya NIMRCAF inayotengenezwa na taasisi yake.
Prof amesema kwa wale wasioweza kuinunua madukani wanaweza kuitengeneza nyumbani kwa kutumia formula hii.
Lita 1 ya maji ya moto
Kitunguu saumu punje 10 hadi 15
Malimao 2
Kitunguu maji kikubwa 1
Tangawizi size ya kidole gumba 4
Pilipili kichaa 5
Changanya kwa kutumia blender kwa dakika 4 hadi 5
Kisha iache ipoe na uanze kuitumia
Source Channel ten
Maendeleo hayana vyama!