Prof. Mbarawa tunaomba maelezo barabara ya Tanga-Pangani- Bagamoyo

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
12,357
6,424
Prof Mbalawa na maneger TANROAD Tanga, tunaomba maelezo kuhusiana na fidia ya kupisha ujenzi wa barabara kutoka Tanga-Pangani-Bagamoyo. Juzi tuliambiwa kuwa tufungue akaunti.

SWALI: Tunafunguaje akaunti kabla hata ya kufanyiwa tathimini? Hii siyo dalili nzuri. Tunawasiwasi tutapewa hela bila kufanyiwa tathimini, na kweli hatutatendeqwa haki.

Tunaomba maelezo.
 
Back
Top Bottom