kuteuliwa kwa kipindi cha muda au kipindi kinachoisha mpaka 2020... ni kama leo Membo awanie kinyang'anyiro kijacho ndani ya chama... alafu bwana mkubwa aje aseme kuwa mbona wengine waliongoza kwa vipindi viwili vya miaka mitano mitano...Kwani aliemteua bado yupo madarakani?
ndio maana Mwl J. K aliyesema kwa katiba tuliyonayo akipatikana rais mbovu ni hatariProf Mwandsya pamoja Na Elimu yake yote Kumbe Hajui Rais wa Nchi hana Mamlaka ya kutengua vyeo viwili tu Kati ya vyote alivypewa Mamlaka ya ya kuteua
1) Mdhibiti Na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu Za Serikal
2) Jaji Mkuu
Kama Rais anaweza kuamka Asubuhi na kuvunja Bunge zima Na wote pamoja Na Yeye Rais wakarudi Kwenye Uchaguzi Ndo asiwe Na Mamlaka ya kutumbua Mkuu wa Chuo Cha huko MabOnde kuinama!
Hii Katiba inayomsonOnesha Mwandosya ndio hiyo hiyo imemfanya akawa Mheshimiwa
Jiwe anajaribu kutuliza dhoruba, hali ya hewa imechafuka sana, teuzi zitafatana sana na hana namna, sio kama anapenda nadhani ni ushauri wa ApsonAache kulialia ila Msekwa mzee sana hakuna vijana
Kasome tena katiba hakuna teuzi ambayo magifuli anashindwa kutengua.Prof Mwandsya pamoja Na Elimu yake yote Kumbe Hajui Rais wa Nchi hana Mamlaka ya kutengua vyeo viwili tu Kati ya vyote alivypewa Mamlaka ya ya kuteua
1) Mdhibiti Na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu Za Serikal
2) Jaji Mkuu
Kama Rais anaweza kuamka Asubuhi na kuvunja Bunge zima Na wote pamoja Na Yeye Rais wakarudi Kwenye Uchaguzi Ndo asiwe Na Mamlaka ya kutumbua Mkuu wa Chuo Cha huko MabOnde kuinama!
Hii Katiba inayomsonOnesha Mwandosya ndio hiyo hiyo imemfanya akawa Mheshimiwa
Hivi mishahara yao inakuwaje hao wanaokuwa kwenye bodi?Kwa hiyo mandosya ugali umemwagika ila kayataka mwwnyewe si ni juzi juzi hapa kama alikuwa anaanza kuwa na matamko matamko yake huko twiter?