Prof. Mark Mwandosya: Kikwete aliniteua kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu hadi 2020, leo Msekwa anachukua nafasi hiyo..

Interest

Interest

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2015
Messages
1,437
Likes
2,309
Points
280
Interest

Interest

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2015
1,437 2,309 280
Hii inafikirisha! NI kwamba Prof. anaondolewa kiaina kwenye utawala wa JPM?

Picha lilianzia hapa >> Prof. Mark Mwandosya aenguliwa Uenyekiti Bodi ya chuo cha Mwalimu Nyerere; nafasi yake apewa Stephen Wasira - JamiiForums

Kisha leo ikafuatia >> Rais Magufuli afanya uteuzi wa Viongozi mbalimbali wa Taasisi za Umma - JamiiForums

Baada ya nafasi yake kunyakuliwa tena, Prof. amefunguka ya moyoni;

"Aprili 2014 Mhe. Kikwete aliniteua Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya kwa kipindi kinachoisha 2020. Mhe. Pius Msekwa anachukua nafasi hiyo kuanzia leo. Nampongeza. Nashukuru kwa heshima ya kuwa Mlezi Mkuu wa Chuo. Asanteni jumuiya ya Chuo kwa ushirikiano mlionipatia". Prof. Mark Mwandosya.

Kwa wanaomfuatilia Profesa huko mitandaoni, watabaini ni kwa kiasi gani amekuwa mkosoaji mkubwa wa madudu yanayofanyika katika serikali hii ya awamu ya 5. Je, huenda hilo ndilo limepelekea muda wake ''kukatishwa' na kuondolewa kabisa kwenye utawala wa bwana mkubwa?
 
Chillah

Chillah

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2016
Messages
4,432
Likes
2,716
Points
280
Chillah

Chillah

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2016
4,432 2,716 280
Kwani aliemteua bado yupo madarakani?
kuteuliwa kwa kipindi cha muda au kipindi kinachoisha mpaka 2020... ni kama leo Membo awanie kinyang'anyiro kijacho ndani ya chama... alafu bwana mkubwa aje aseme kuwa mbona wengine waliongoza kwa vipindi viwili vya miaka mitano mitano...

Aweke taadhari hakuna mwenye chama...
 
P

Pohamba

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2015
Messages
18,228
Likes
29,885
Points
280
P

Pohamba

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2015
18,228 29,885 280
Prof Mwandsya pamoja Na Elimu yake yote Kumbe Hajui Rais wa Nchi hana Mamlaka ya kutengua vyeo viwili tu Kati ya vyote alivypewa Mamlaka ya ya kuteua
1) Mdhibiti Na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu Za Serikal
2) Jaji Mkuu

Kama Rais anaweza kuamka Asubuhi na kuvunja Bunge zima Na wote pamoja Na Yeye Rais wakarudi Kwenye Uchaguzi Ndo asiwe Na Mamlaka ya kutumbua Mkuu wa Chuo Cha huko MabOnde kuinama!

Hii Katiba inayomsonOnesha Mwandosya ndio hiyo hiyo imemfanya akawa Mheshimiwa
 
KingY

KingY

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2018
Messages
2,984
Likes
4,300
Points
280
KingY

KingY

JF-Expert Member
Joined May 22, 2018
2,984 4,300 280
Prof Mwandsya pamoja Na Elimu yake yote Kumbe Hajui Rais wa Nchi hana Mamlaka ya kutengua vyeo viwili tu Kati ya vyote alivypewa Mamlaka ya ya kuteua
1) Mdhibiti Na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu Za Serikal
2) Jaji Mkuu

Kama Rais anaweza kuamka Asubuhi na kuvunja Bunge zima Na wote pamoja Na Yeye Rais wakarudi Kwenye Uchaguzi Ndo asiwe Na Mamlaka ya kutumbua Mkuu wa Chuo Cha huko MabOnde kuinama!

Hii Katiba inayomsonOnesha Mwandosya ndio hiyo hiyo imemfanya akawa Mheshimiwa
ndio maana Mwl J. K aliyesema kwa katiba tuliyonayo akipatikana rais mbovu ni hatari
 
Tee Bag

Tee Bag

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Messages
6,570
Likes
2,366
Points
280
Tee Bag

Tee Bag

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2013
6,570 2,366 280
Aache kulialia ila Msekwa mzee sana hakuna vijana
Jiwe anajaribu kutuliza dhoruba, hali ya hewa imechafuka sana, teuzi zitafatana sana na hana namna, sio kama anapenda nadhani ni ushauri wa Apson
 
L

lukubuzo Samsis

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2014
Messages
1,085
Likes
557
Points
280
L

lukubuzo Samsis

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2014
1,085 557 280
Prof Mwandsya pamoja Na Elimu yake yote Kumbe Hajui Rais wa Nchi hana Mamlaka ya kutengua vyeo viwili tu Kati ya vyote alivypewa Mamlaka ya ya kuteua
1) Mdhibiti Na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu Za Serikal
2) Jaji Mkuu

Kama Rais anaweza kuamka Asubuhi na kuvunja Bunge zima Na wote pamoja Na Yeye Rais wakarudi Kwenye Uchaguzi Ndo asiwe Na Mamlaka ya kutumbua Mkuu wa Chuo Cha huko MabOnde kuinama!

Hii Katiba inayomsonOnesha Mwandosya ndio hiyo hiyo imemfanya akawa Mheshimiwa
Kasome tena katiba hakuna teuzi ambayo magifuli anashindwa kutengua.
Soma ibara 144,2 hapo.
 
Forum statistics

Threads 1,235,316
Members 474,525
Posts 29,218,240