Prof. Maghembe apokea mabilionea wa dunia Serengeti

Prof. Maghembe apokea mabilionea wa dunia Serengeti

Huuuh! Can this be Everton's trick or Acacia?

Things are happening so fast
Na hivi Sanjay Dutt bado yupo eeee



Small minded people will never understand
 
Swali ni je Tanzania itatumiaje hii fursa kukuza uchumi wa taifa? Yaani kuwashawishi hao billionaires wawekeze nchini? Au watatalii tu nakusepa bila kuwaingizia habari zozote zile?

Small minded people will never understand
 
Mmeniudhi tayari! Watu watatu wamesimama mbele kwa mstari mmoja!mzungumzaji yupo katikati halafu unamtambulisha mmoja tu mwenye suti!! Kwani huyo mwenye red siyo mtu? Nalaabuk!
 
Waziri anachezea pesa eti ameenda kupokea watalii! ndio kazi ya waziri hiyo? Hao mabilionea wanafanya ziara ya kiserikali au binafsi?
Hao ni watu wazito lazima watu wakubwa wahusike

Small minded people won't understand
 
Habari kama hizi zinamchoma MK254 mpaka moyoni. Wakenya wenyewe wanaongeza nguvu kwenye 'sex tourism'.
 
Very good,this is fantastic.Hii sio bure,nadhani sifa za Magufuli nazo zimechangia na zinatuuza.They must be saying whoo,let's go and see where this extremely rare African called Magufuli resides,is he really African and coming from Africa?It seems he is also a tourist attraction.

Africans leaders are very famous for plundering their countries' natural wealth and resources,so to have a President like Magufuli is an extremely rare phenomenon.
Yah is true, you have say
 
Mtoa mada unajua maana ya ushahidi?

Sent using Jamii Forums mobile app

Picha ziko wapi

Sent using Jamii Forums mobile app

Picha iko wako ya hao billioneas, au unaunda story

Weka picha
4bc396a730daa77c774175968d763b27.jpg
775f6f677fbc9ff495034c9d0f39199a.jpg


Small minded people won't understand
 
SERENGETI, Mara: 23.07.2017 Waziri wa Maliasili na Utalii Prof. Jumanne Maghembe, jana aliwapokea Mabilionea 26 katika Mbuga ya Serengeti. Mabilionea hao walifuatana na wenzi wao (26) katika ziara yao ya siku 3 nchini Tanzania. Wageni hao ambao wanatoka katika club ya mabilionea ya YPO (Young Presidents Organisation) wanatoka mabara yote duniani. Ziara hii ni ushahidi kuwa Tanzanina sasa hivi inaongoza kwa vivutio vya utalii barani Afrika na duniani.

Katika ziara hiyo ya nchi nane (8) ambazo ni: Uingereza, Rwanda, Tanzania, Maldeves, Nepal, Bhutan, Rajastan na nchi moja nyingine, wageni hao wamemwaga sifa kem kem kwa vivutio vya Tanzania. Katika hafla ya Chakula cha jioni alichowaandalia Wageni wake, Prof. Maghembe aliwakaribisha nchini Tanzania na kuwaambia kuwa maajabu ya Dunia yamebebwa na hifadhi ya Taifa ya Serengeti.

"Hakuna eneo lolote katika uso wa Dunia lenye mkusanyiko wa wanyama wanaokula majani (herbivorous) na wale wanaokula nyama (carnivorous) kama ilivyo katika mbuga hiyo ya Serengeti. Aidha, Prof. Maghembe aliwaeleza wageni wake kuwa uhifadhi ni gharama kubwa inayobebwa na Tanzania kwa niaba ya Dunia.

Aliwaomba wageni hao wawe Mabalozi wa kuitangaza Tanzania kama eneo pekee la amani lenye vivutio vyenye ubora wa pekee duniani. Alisema hatua hiyo italeta watalii wengi nakuiongezea Tanzania mapato. Aidha, aliwaomba warudi tena kuwekeza nchini ili washiriki kwenye uchumi unaokuwa kwa wastsni wa 7% kwa kipindi cha miaka 15 sasa.

Ebo maombi yetu kuwa waisusie Tanzania yamekataliwa? wamenunuliwa hawa.
 
Back
Top Bottom