Prof. Maghembe adhulumiwa mali ya bilioni !

kumbe malipo ni hapa hapa dunia umalaya na ufisadi wake umeanza kumrudi..
 
Acha akipate alivyotukana hapo chuo kikuu haya ndo malipo yake
 
Acha adhulumiwe tu, kwani inawezekana nae aliiba tu!
 
Nawapa ushauri wa bure,wote waliofanywa vivuli wa kumiliki mali ya watawala kwa mtindo huu wachangamkie fursa hii,msipokuwa matajiri msimlaumu mtu,hawa mafisadi ni kuwaosha kama walivyoosha kodi zetu.
 
Huu uzi ni kama umeandikwa na mtu aliyekuwa anatweta baada ya mbio ndefu za kukimbia kujiepusha na adhabu fulani na akasimamishwa ghafla aeleze alichoeleza. Namshauri mleta uzi atulie na kuandika vizuri alichokusudia tukijue wadau.

inaonekana wewe ndio slow learner,yani umeshindwa kutoka na kitu hapo?
 
Duuu! tusubiri tu tutasikia amepelekwa india kusaka tiba ya moyo.
 
Hivi ninyi kwa akili zenu mnadhani kuna kiongozi wa juu yeyote ccm msafi!
mh............! am tired na hiki kitu kinachoitwa ccm.
 
Mwizi kaibiwa

Hivi kwa nini Mawaziri wengi ni mamilionea? Hakuna sheria inayowabana kutofanya biashara?
Nasikia hata Mramba mzee wa kula nyasi naye alilizwa pesa ndefuu na mwenye mabasi ya Kilimanjaro Express.
 
Huyu waziri ni mwizi, je amepataje mali hizo, je kama ni mali halali kwanini anazificha??????
Kikwete, mulika mwiziiiiii meeeeeeeeen
 

Ama kweli KIFUMWA NI VANTU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…