Uchaguzi 2020 Prof. Lipumba: Tutawekeza kwa watu, kisha watu wawekeze kwenye vitu

CUF Habari

JF-Expert Member
Dec 12, 2019
239
234
Screenshot_20200921-183200.png
Screenshot_20200921-183258.png
Screenshot_20200921-183258.png

TUTAWEKEZA KWA WATU, KISHA WATU WAWEKEZE KWENYE VITU"PROF. LIPUMBA" KIBONDO, KIGOMA

Tutahakikisha haki sawa na furaha kwa wote!.

Haki ya Elimu kwa kila Mtanzania!.

Haki ya Lishe Bora na uhakika kwa kila Mtanzania!.

Haki ya Afya Bora na ya uhakika kwa kila Mtanzania!.

Haki ya kuwa na ajira Bora, yenye ujira bora na ya uhakika kwa kila Mtanzania!.

Haki ya kuwa tajiri kwa mapato halali kwa kila Mtanzania!.
 
Nilishakisahau hiki chama🤔🤔
Kumbe bado kipo??
Lipumba ulikiua chama kwa mikono yako mwenyewe!
 
Kina Lipumba na genge lake wameshajulikana.
Mwaka huu kama mtapata hata Siwani mmoja,mkachinje jogoo wa kijani.
Unajua huyo Lipumba kaanza kutumika lini hadi wewe unakuja kumgundua? Mkuu mie sina ushabiki wa siasa hata kura sijisumbui kupiga.
 
Back
Top Bottom