Prof Lipumba ni B52 ya kuiua CHADEMA, CUF kujitoa UKAWA

assadsyria3

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
6,903
4,051
Wadau sasa prof kama atafanikiwa kama alivofanya timing nzuri CUF wakijisahaulisha basi hilo litakuwa bomu la ndege B52 kwa CHADEMA.

Kiukweli CHADEMA bila ukawa ni ngumu kutoka hasa kule Zenji. Sasa huenda CUF wanataka kujitoa ila wameanzia mbali.

Mbele ya prof Lipumba hakuna tena UKAWA, ataiua na kuizima.

yelewiii!!!!
 
Anarudi baada ya CUF kudhihirisha kuwa waliingizwa choo cha kike aka jinsia tofauti
 
Kwani kuna UKAWA kwa sasa? NLD hawapo, na tangu Agosti 2015 hakuna kikao cha UKAWA kilichofanyika
 
Anarudi baada ya CUF kudhihirisha kuwa waliingizwa choo cha kike aka jinsia tofauti
CUF kwa sasa wanajuuta sana kumsikiliza Maalim Seif. Sasa wanajiona ni wakimbizi ndani ya nchi yao. Ale wabunge waliopewa heshima zote kwa sasa wamedharaulika sana
 
CUF kwa sasa wanajuuta sana kumsikiliza Maalim Seif. Sasa wanajiona ni wakimbizi ndani ya nchi yao. Ale wabunge waliopewa heshima zote kwa sasa wamedharaulika sana

Wajute kwa hasara gani waliiyoipata?, halafu hebu niambie kwa miaka ishirini iliyopita CUF walikuwa na wabunge wangapi bara?, nyie ndiyo mnasema CHADEMA inakufa lakini kila mwaka inaongeza wabunge
 
lipumba akirudi cuf ndo utakuwa mwisho wa cuf na pia utakuwa mwisho wa UKAWA. sina uhakika kama chadema watasambaratika bali kuna uwezekano wa kuyumba pia...
 
kosa la karne la cuf wanalowexa kufanya ni kumrudisha prof liphmba

Tena cuf wasirogwe kumrudisha huyu jamaa kwanza imetosha miaka 25 Ni sawa na binti mwenye watoto wasiopungua wawili kama kafata nyota ya kijani, hata seif lisingekuwa suala la znz alitakiwa apumzike
 
Ni CUF ya bara pekee inayojua thamani ya UKAWA hasa hao wachache waliokwaa ubunge na udiwani.

Wenye maamuzi ya mwisho juu ya Lipumba kina Maalim hawaihitaji UKAWA kwa lolote so lolote linaweza tokea.
 
Ni CUF ya bara pekee inayojua thamani ya UKAWA hasa hao wachache waliokwaa ubunge na udiwani.

Wenye maamuzi ya mwisho juu ya Lipumba kina Maalim hawaihitaji UKAWA kwa lolote so lolote linaweza tokea.
mkuu umechemka mbaya. hata maalim seif anatambua umuhimu wa ukawa. lowasa kampa kampani kubwa sana seif kule zanzibar kwenye uchaguzi wa mwaka jana.
 
Back
Top Bottom