samilakadunda
JF-Expert Member
- Oct 13, 2011
- 1,780
- 360
nimecheka mwishoni Prof lipumba aliposema wao CUF WANACHAKACHULIWA SANAAAAA:becky:
Freshthinking,Mkataba sio sera. Muungano ni ule ule wa serikali tatu: Tanganyika, Zanzibar na Muungano. Lakini sasa wazanzibar wameenda mbali zaid kuelezea hiyo serikali ya muungano uweje; wakasema muungano wa mkataba.
Kwa maoni yangu there is no confusion in that!
Hivi prof bado anataka kugombea urais?
Alaf u prof wake wa uchumi una faida gani kwa taifa letu?
Ciello ubarikiwe sana,umetufanya hata sisi tuliokuwa mbali na tv tupate uhondo!
Pia umejitahidi sana kuandika kwa ufasaha!
Happy New year babiiiii!
Mkuu, sera ya Cuf ni serikali 3 na wanaotaka muungano wa mkataba nazo ni tatu.Freshthinking,
..muungano wa serikali 3 ni muundo tofauti na muungano wa mkataba unaoshabikiwa na Maalimu Seif na Ismail Jussa.
..tena Ismail Jussa amekwenda mbali zaidi na kusema mfano wa muungano wa mkataba ni jumuiya za Ulaya[EU], pamoja ya jumuiya ya Afrika Mashariki[EAC].
Freshthinking,Mkuu, sera ya Cuf ni serikali 3 na wanaotaka muungano wa mkataba nazo ni tatu.
Jokakuu, namimi nikuulize;serikali ya tatu kwenye huo mfumo wa serikali 3 utakuwaje na itakuwa na mamlaka gani?Freshthinking,
..unless wewe ni Ismail Jussa muasisi wa wazo la muungano wa mkataba kwa upande wa ZNZ.
..kinyume na hivyo, wenye hoja hiyo ambao ni Maalim Seif na Ismael Jussa wameshaeleza kwamba muungano wa mkataba si serikali 3.
..muungano wa mkataba unahusisha Tanganyika na Zanzibar ambazo zitakuwa dola huru, kamili, na zinazotambuliwa kimataifa.
..katika mazingira hayo unafikiri hiyo serikali ya 3[ya muungano] itakuwa ina mamlaka gani, au umuhimu gani, na itashughulika na nini, itaongozwa na nani, na mipaka ya utambulisho wake itakuwa ni ipi??