Muulize kigamboni Development Authority (KDA) ina members wangapi ? Kazi yake ni nini? Inaundwa chini ya kifungu gani? Yeye kama member role yake ni ipi?
mkuu kashaaga...punde ataingia prof. lipumba....

We Mu-Warsaw usikae mbali utupe na za Lipumba!mana kuna Maswali nimemuuliza Prof
mkuu kashaaga...punde ataingia prof. lipumba....
prof lipumba ndani ya nyumba....