Nicole
JF-Expert Member
- Sep 7, 2012
- 4,274
- 2,523
Kuhusu muungano:
Wao kama CUF wanataka Articles of union zipitiwe ili tupate makubaliano mapya, watu wawe na uhuru kutoa mawazo yao upatikane mkataba mpya wa muungano.
Msimao wa CUF:
Wanataka muungano wa mkataba wa serikali 3, serikali ya tanganyika ambayo itakuwa na mamlaka kamili ktk mambo yasiyo ya muungano, Zanzibar ambayo itakuwa na mamlaka kamili ktk mambo yasiyo ya muungano na ya serikali ya muungano itakayo simamia maswala ya muungano kama ulinzi na usalama, uraia na mambo ya nje.