Uchaguzi 2020 Prof. Lipumba: Kura sio siri tena

Yaani wapinzani wa nchi hii bogus kabisa! Kuna mwingine Mbeya anajiita Sugu, alivyokuta tume imejipanga vizuri hakuna changamoto, alivyoulizwa changamoto aliziona eti "vyumba vya kupigia kura ni vidogo sana havina hewa, akaenda mbali na kusema, wasimamizi wakitoka hapo wakanywe maziwa" yaani watu wa hivi kuwapeleka bungeni no kupoteza kodi zetu bure tu! Na tunawapiga kipigo kitakatifu, kura zote kwa CCM.
 
Ni kweli aisee hata mimi hicho kitu nimekiona lkn nikajua ndio utaratibu wa mwaka huu..ila poa tu wala asitutishe Magufuli maana hawezi kuongoza milele ipo siku yake tu na yeye atalamba Udongo
Mbona miaka yote ndo huwa inakuwa hivo kwa sisi tuliopiga kura chaguzi zaidi ya tano.
 
Yaani wapinzani wa nchi hii bogus kabisa! Kuna mwingine mbeya anajiita Sugu, alivyokuta tume imejipanga vizuri hakuna changamoto, alivyoulizwa changamoto aliziona eti "vyumba vya kupigia kura ni vidogo sana havina hewa, akaenda mbali na kusema, wasimamizi wakitoka hapo wakanywe maziwa" yaani watu wa hivi kuwapeleka bungeni no kupoteza kodi zetu bure tu! Na tunawapiga kipigo kitakatifu, kura zote kwa ccm.
Saa ngapi mnarudisha internet mkuu, tushuhudie mlivyochaguliwa kwa 200%,
 
Anazeeka vibaya, namba inaandikwa pale juu ndio lakini baadae inapochanwa karatasi ili upewe ukapige kura, ile namba inabaki kwenye kitabu haitoki na karatasi.
Waache UKAWA wajadili ujinga wao na wanaojadili hili hawajapiga kura hahahhaa UPO SAHIHI ILIVYOWAELIMISHA ila kwa sababu pinga pinga team lazima wapinge
 
Ni kweli aisee hata mimi hicho kitu nimekiona lkn nikajua ndio utaratibu wa mwaka huu..ila poa tu wala asitutishe Magufuli maana hawezi kuongoza milele ipo siku yake tu na yeye atalamba Udongo
Tatizo lenu ham fuatilia mpaka muambiwe. Hili liko kitaalamu, kishina ndicho kinaandikwa na wala siyo karatasi inayohesabika kama kura.

Hiyo inasaidia ku trace in case unataka kujua kama aliyepiga kura yuko kwenye daftari la wapiga kura.Kura feki huwa ni watu wasiokuwemo kwenye daftari.

Tatizo lenu hata pale serikali inapoweka controls nyie mnapinga.Safari hii mnachapwa na Magufuli na hamtakuwa na pakutokea
 
Aache uongo! Namba ya kadi inaandikwa kwenye kibutu tu! Karatasi ya kura haina sehemu ya kuandika namba ya kadi, anayefanya hivyo anakiuka sheria
Kama ile karatasi nayo Ina serial Na.kama ya kwenye kibutu wanaweza kujua nani alipiga.
 
Huu uchaguzi ni upuuzi kama upuuzi mwingine, na ndio maana watanzania wengi wamepuuza zoezi zima. Idadi ya wapiga kura ni ndogo kuliko maelezo kwenye vituo. Mambo kama hayo nani yuko tayari kwenda kushiriki huo upuuzi?
Kwa hiyo hujaenda kupiga kura?
 
Kiukweli, mzee anazeeka vibaya namba inabaki pale juu ikichanwa namba inabaki pale huendi nayo kule chobingo.


Mzee nae anataka atajwe tajwe tu kama jani kibichi
 
Anazeeka vibaya, namba inaandikwa pale juu ndio lakini baadae inapochanwa karatasi ili upewe ukapige kura, ile namba inabaki kwenye kitabu haitoki na karatasi.
Bila shaka kitufe kina namba inayoendana na karatasi uliyopewa,Je namba ya kitambulisho inayonakilishwa kwenye kitufe kinachobaki kwenye kitabu cha karatasi za mpiga kura si ushahidi tosha iwapo kutakuwepo na sababu ya kujua nani kampigia nani?.Ila sema zoezi la kufanya uhakiki ni gumu sana.
 
Kwani ile karatasi ya kupigia kura inaandikwa number za kitambulisho cha mpiga kura?
 
Back
Top Bottom