ibra87
R I P
- Jul 22, 2015
- 5,614
- 5,360
dhamira yake inamsuta na vidole juuu
Sio Kila Unachokifikiria Wewe Ndicho Anachokifikiria Yeye.... Dhamira Haiwezi Kumsuta Kwa Kuwa Amejitambua.. Sema Ukaskazini Utaondoka na Wengi, nitafute oktoba 27
dhamira yake inamsuta na vidole juuu
wewe endelea tu ila ccm lazima itoke... tukutane october 27Sio Kila Unachokifikiria Wewe Ndicho Anachokifikiria Yeye.... Dhamira Haiwezi Kumsuta Kwa Kuwa Amejitambua.. Sema Ukaskazini Utaondoka na Wengi, nitafute oktoba 27
Asema haungi mkono UKAWA.
![]()
Aliyekuwa Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere akitokea Rwanda jana. Picha na Said Khamis
Kwa ufupi
Asisitiza kutokubaliana na uamuzi wa Ukawa kumsimamisha Lowassa kugombea urais.
By Goodluck Eliona, MwananchiDar es Salaam. Aliyekuwa Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahimu Lipumba alirejea nchini jana jioni akitokea Kigali, Rwanda alikokwenda mara tu baada ya kujiuzulu wadhifa huo siku nane zilizopita.
Profesa Lipumba aliwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNIA) saa 10.10 jioni kwa ndege ya Rwanda Air.
Akihojiwa na Azam Tv kwa simu akiwa Kigali, siku tatu baada ya kuondoka nchini, Profesa Lipumba alisema alikuwa nchini humo akifanya utafiti kuona namna gani Tanzania inaweza kujifunza mambo ya kiuchumi kutokana na nchi hiyo kupiga hatua kubwa katika sekta hiyo.
Alipoulizwa jana, Profesa Lipumba alisema akiwa huko alikuwa na mazungumzo na Bodi ya Maendeleo ya Rwanda (RDB), wadau wa masuala ya rushwa, waziri wa fedha wa nchi hiyo na makamu mwenyekiti wa Bodi ya Utawala.
"Wenzetu wamepiga hatua kubwa katika kukuza uchumi ndani ya kipindi kifupi, hivyo safari yangu ilikuwa ya kujifunza mbinu walizotumia kufikia malengo yao," alisema.
Akizungumzia hatima yake kisiasa, licha ya kusema ataendelea kuwa mwanachama wa CUF, alisema hatashiriki kufanya kampeni kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kwa kuwa umoja huo umemsimamisha mwanachana wa CCM, Edward Lowassa.
"Kisiasa hatima yangu ni kama ya Mtanzania mwingine yeyote, Ukawa tuna mgombea kutoka CCM, amehama juzi tu, pia mle ndani ya Bunge la Katiba hakuunga mkongo Rasimu ya Katiba na ndiyo maana nikasema dhamira yangu inanisuta," alisema Profesa Lipumba.
Alisema wanachama wa CUF hawana sababu ya kuona kama amewaacha kwa kuwa bado yupo nchini.
Awali, akitangaza kujiuzulu, nguli huyo wa uchumi, alisema alifikia uamuzi huo kutokana na Ukawa kumkaribisha Lowassa kugombea urais kupitia umoja huo, hivyo dhamira yake inamsuta.
Chanzo; Mwananchi
A traitor will always be a traitorAsema haungi mkono UKAWA.
![]()
Aliyekuwa Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere akitokea Rwanda jana. Picha na Said Khamis
Kwa ufupi
Asisitiza kutokubaliana na uamuzi wa Ukawa kumsimamisha Lowassa kugombea urais.
By Goodluck Eliona, MwananchiDar es Salaam. Aliyekuwa Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahimu Lipumba alirejea nchini jana jioni akitokea Kigali, Rwanda alikokwenda mara tu baada ya kujiuzulu wadhifa huo siku nane zilizopita.
Profesa Lipumba aliwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNIA) saa 10.10 jioni kwa ndege ya Rwanda Air.
Akihojiwa na Azam Tv kwa simu akiwa Kigali, siku tatu baada ya kuondoka nchini, Profesa Lipumba alisema alikuwa nchini humo akifanya utafiti kuona namna gani Tanzania inaweza kujifunza mambo ya kiuchumi kutokana na nchi hiyo kupiga hatua kubwa katika sekta hiyo.
Alipoulizwa jana, Profesa Lipumba alisema akiwa huko alikuwa na mazungumzo na Bodi ya Maendeleo ya Rwanda (RDB), wadau wa masuala ya rushwa, waziri wa fedha wa nchi hiyo na makamu mwenyekiti wa Bodi ya Utawala.
Wenzetu wamepiga hatua kubwa katika kukuza uchumi ndani ya kipindi kifupi, hivyo safari yangu ilikuwa ya kujifunza mbinu walizotumia kufikia malengo yao, alisema.
Akizungumzia hatima yake kisiasa, licha ya kusema ataendelea kuwa mwanachama wa CUF, alisema hatashiriki kufanya kampeni kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kwa kuwa umoja huo umemsimamisha mwanachana wa CCM, Edward Lowassa.
Kisiasa hatima yangu ni kama ya Mtanzania mwingine yeyote, Ukawa tuna mgombea kutoka CCM, amehama juzi tu, pia mle ndani ya Bunge la Katiba hakuunga mkongo Rasimu ya Katiba na ndiyo maana nikasema dhamira yangu inanisuta, alisema Profesa Lipumba.
Alisema wanachama wa CUF hawana sababu ya kuona kama amewaacha kwa kuwa bado yupo nchini.
Awali, akitangaza kujiuzulu, nguli huyo wa uchumi, alisema alifikia uamuzi huo kutokana na Ukawa kumkaribisha Lowassa kugombea urais kupitia umoja huo, hivyo dhamira yake inamsuta.
Chanzo; Mwananchi
sisi wtz tuna matatizo. Unamkebehi lipumba unamshangilia fisadi lowassa?

Mkuu yote yamesababishwa na ccm, na ndio maana tunasema ccm siyo baba yetu wala ccm siyo mama yetu.imetoshani aibu kwetu, tena sana, ndg zetu hawa wa rwanda, tumewapokea wakiwa wakimbizi, wamepigana tena vita mbaya kabiya their country nearly collapsed, leo maprofesa wetu hawa wanaenda eti kujifunza uchumi, jamani aibu hii tutaficha wapi nyuso zetu? Rwanda isiyo na madini, mbuga za wanyama, hawana bandari wala rasilimali japo robo ya tz, leo tunajifunza kwao, shame !!
Panya road baba yako mjinga weeee!watanzania wasiojielewa na ambao wanalazimishwa kuandamana hovyo huku wakisababisha uvunjifu mkubwa wa amani na kufanya uhalifu mitaani a.k.a panya road wa kisiasa wa chadema na ukawa.
Panya road baba yako mjinga weeee!
Meshindwa siasa za majukwaani mnaleta matusi...!
Sisi Wtz tuna matatizo. Unamkebehi lipumba unamshangilia fisadi lowassa?
kwa akili yake alifikiri anapeeedwaaa, kumbe watz hawana hata tyme naye.Enzi za lyatonga akihama chama anahama na watu
hali ni tofauti siku hizi..
Lipumba amejidhalilisha