Prof Lipumba alishawahi kupata elective post hapa nchini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Prof Lipumba alishawahi kupata elective post hapa nchini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zak Malang, Mar 22, 2011.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Mar 22, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  WanaJF Nauliza: Hivi Kiongozi Mkuu (Mwenyekiti) wa CUF alishawahi kupata position ya kuchaguliwa (elective post) kitaifa? Alishawahi, kwa mfano, kuchaguliwa kuwa Mbunge? Sikumbuki sawasawa.

  Nasema hivi kwa sababu katika vyama karibu vyote vikuu vya kisiasa sasa hivi -- yaani CCM, Chadema, TLP, NCCR, UDP viongozi wake wakuu (wenyeviti) ama ni wabunge sasa hivi au walishawahi kuwa wabunge huko nyuma.

  Inakuaje kwa CUF si hivyo? Nauliza tu na ninafahamu fika kwamba siyo lazima mwenyekiti wa chama cha siasa awe Mbunge. Pia nafahamu fika kwamba Profesa ni mgombea urais wa kudumu mzuri hapa nchini, lakini rekodi inaonyesha hajawahi kabisa kuchaguliwa kwa nafasi yoyote kwa njia ya kura, ukiacha kugombea kwake katika chaguzi za ndani ya chama chake. Jee inawezekana akastaafu siasa bila ya kupata elective post yopyote?

  Nawasilisha.
   
 2. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #2
  Mar 22, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  Lipumba ni kama Makamba Sr tu -- kelele nyingi lakini hajawahi kuchaguliwa na wananchi popote pale!
   
 3. K

  Kadogoo JF-Expert Member

  #3
  Mar 22, 2011
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,072
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kutokugombea ubunge kwa Profesa kunaonyesha jinsi asivyo natamaa za madaraka kama alivyo Mbowe wa chadema!! Profesa ameridhika na kazi aliyonayo ya uenyekiti wa CUF na anauwezo wa kuteuliwa ubunge kupitia kapu lao maalum lakini hajawahi kufanya hivyo!
  Huyu ndio kiongozi na anafaa kuigwa na wengine! wala hakuna ulazima wa kuwa mbunge kama unavyoelekeza!
   
 4. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #4
  Mar 22, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  Une-electable material. Hata akigombea Ubunge kwao Unyamwezini nadhani hawezi kupata.
   
 5. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #5
  Mar 22, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  Kwenye rangi: Ni kitu gani hicho? Navyofahamu mimi hakuna viti maalum vya upendeleo kwa wanaume Bungeni. Labda ateuliwe na JK kuwa Mbunge -- kama vile Benja alivyomteua hamadi Rashidi kuwa Mbunge baada tu ya mauaji ya Pemba 2001.
   
 6. BobKinguti

  BobKinguti JF-Expert Member

  #6
  Mar 22, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 222
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Lipumba ni moja kati ya watu makini! Hana tamaa ya madaraka kama ilivyo kwa baadhi ya viongozi wa kisiasa hapa nchini. Vilevile anaheshimika si Africa tu bali Duniani kwa ujumla! Taaluma ya uchumi aliyonayo imetumika kuimarisha hali za kiuchumi katika baadhi ya Mataifa duniani.

  Tatizo letu sisi watanzania ni ushabiki/unazi,hatuwezi kabisa kupima uwezo wa mtu na kumpa heshima anayostahili. Na ushabiki/unazi huu utatufanya tuendelee kuwa duni hadi kiama!
   
 7. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #7
  Mar 22, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  Hivyo Watz sasa wameamua kumdidimiza kisiasa kuanzia uchaguzi uliopita? Angekuwa ana akili hivi sasa angebaini exit door. Kuna siku atakuja kupata idadi ya kura kama zile wanazopata akina Mtikila, Mugyhwa akizidi kun'gang'ania kuwa mgombea urais wa kudumu.
   
 8. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #8
  Mar 22, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Na hasa akiendelea kuwa wakala wa CCM katika kuiponda PIPOOOZ. Inashangaa kwamba anadhani hajui kwamba wengi wamemshtukia. Kazi ngumu ya kuijibu hoja za CDM imewashinda CCM na hivyo wamemuajiri Profesa kufanya hiyo kazi!!!!
   
 9. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #9
  Mar 22, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  World Bank Economics Advisor Prof Ibrahim Lipumba, huyu jamaa hana kazi nyingi sana za kimataifa, UN imemteua kujiunga na jopo la wataalamu wa uchumi wa kimataifa kuandaa mikakati itakayowezesha nchi maskini duniani ikifikia malengo ya milenia ifikapo mwaka 2015. Lipumba na jopo hilo la wataalamu duniani wameteuliwa na UN, kwa kazi ya kupunguza asilimia 50 ya watu wanaoishi katika dimbwi la umaskini na njaa ifikapo mwaka 2015, sasa huyu jamaa kugombea Ubunge sio sehemu yake. dunia inamuitaji kwa mambo ya msingi ya kimataifa. kweli nabii akubariki kwao
   
 10. K

  Kadogoo JF-Expert Member

  #10
  Mar 23, 2011
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,072
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hata hawa wakereketwa wa CHADEMA wanakiri Lipumba ni kiboko ila udini ndio unaowasumbua!!!
   
 11. m

  mjombajona JF-Expert Member

  #11
  Mar 23, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 262
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hapo kwenye bold hana kazi najua chatu dume anamaanisha ana kazi! Hivi kiswahili cha hasije badala ya asije, taharifa badala ya taarifa, hameacha badala ya ameacha nk. mbona kinazidi kushamiri hapa JF, mnakera ebo!
   
 12. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #12
  Mar 23, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,188
  Trophy Points: 280
  Nasikia ana mpango wa kugombea Ubunge kupitia CCM mwaka 2015 kwani wakati huo ndoa ya CUF na CCM itakuwa imekamilika hadi huku bara na kitanda kimeshachongwa ! Tatizo lililopo ni kwamba kuna hatari ya Chadema kutia mchanga kwenye hicho kitumbua chao, sasa hapo !
   
 13. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #13
  Mar 23, 2011
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Hata uenyekiti wa kitongoji hawazi shinda angalia kura za kikwete 2005 kule kwao ilolangulu kikwete alipata kura 4500, lipumba 345, mbowe 200, hiyo inaonesha kabisa hata mama zake hawakumpigia kura , anategemea kura from Zanzibar je yeye ni mzanzibar?hana chochote cha kujivunia nchi hii amekuwa mshauri wa rais mwinyi uchumi ulifika wapi? hatujawahi kusikia mtu aliyekuwa mshauri wa uchumi wa mkapa akijigamba hadharani ambaye ndiyo alifanya kazi nzuri ambayo kila mmoja aliuona
  Labda unajua marais wote waislam tanzania ni tatizo, kama watanzania tungelogwa tukampa hii nchi Lipumba leo uchumi ungekuwa worse kuliko tunavyoweza fikiria , ni mchumi asiyejua uchumi , ni kama dowans kampuni ya kufua umeme ambayo haifui umeme
   
 14. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #14
  Mar 23, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  jf kuna vituko kama huyu jamaa ana post 27 bado member, eti anakereka:lol::lol:
   
 15. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #15
  Mar 23, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  hapo kwenye rangi nyekundu, ndio maana nakuambia wewe chadema-kata pamoja na wenzako mnakipa chadema sifa mbaya dhidi ya uislam
   
 16. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #16
  Mar 23, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  nikiweka ushabiki wa siasa pembeni, lipumba si wa kumfananisha na mwanasiasa yeyote tz, yupo makini , msomi.. sema ndio vile yupo upande sio kichama.
   
 17. Naloli

  Naloli JF-Expert Member

  #17
  Mar 23, 2011
  Joined: Aug 26, 2010
  Messages: 416
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kama ameridhika mbona vipindi vinne kagombea URAIS yeye tu kupitia CUF inamaana CUF hakuna mwanachama wa kuweza kugombea URAIS? Pili kama hana tamaa ya madaraka mbona kampiga fitna na kumdhalilisha PROF. SAFARI wakati wa kugombea uenyekiti wa CUF yeye si anajifanya mwanademokrasia mbona katika kugombea uenyekiti hakuheshimu Demokrasi na wakamnyima hata haki ya kujieleza PROF SAFARI?

  Tusiwe watu wa kuwatetea hawa viongozi wa vyama ambao wamekuwa kama MASULTANI katika vyama vya siasa. Huyo PROF. LIPUMBA kiukweli ni kuwa hakubaliki hata kwao, na hajawai kupata nafasi yeyote ya kuchaguliwa na wananchi yeye kama kuchaguliwa ni huko CUF lakini si kwa wananchi. Kiufupi yeye ni msomi na si mwanasiasa na tatu hana mvuto wa kisiasa yaani hakubaliki kwa wananchi kama anabisha na wewe unabisha 2015 akagombee kwao usoke huko sikonge uone kama atachaguliwa.
   
 18. T

  Tata JF-Expert Member

  #18
  Mar 23, 2011
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,730
  Likes Received: 646
  Trophy Points: 280
  Naam hana tamaa kiasi cha kugombea urais mara tatu mfululizo bila kuwaachia wengine wajaribu bahati yao.
   
 19. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #19
  Mar 23, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,268
  Trophy Points: 280
  Kama kuna washamba hapa JF basi wewe ndio mfalme wao, tena inawezekana wewe ni zuzu tu, hivi hapa wewe unataka rank au material anayotoa mtu? hivi hata ukiwa na RANK kama ya mwanakijiji halafu post zako zote upupu unadhani username yako ni nani atakaeiheshimu? wacha uzuzu angalia constructive material ya mtu na sio rank, by the way ni shilling ngapi umewahi kulipwa hapa kwa hizo rank zako? zaidi ya wewe kutumia pesa yako kununuwa internet bundle?
   
 20. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #20
  Mar 23, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  mkuu umeomgea point ya maaana!! sana! mimi toka nijiunge humu! thread zenye akili nilizogongea thanks ni saba tu! kuna watu wana post 3000 lakini ni pumba tupu!!...
   
Loading...