WILLAFRICA
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 4,027
- 933
upuuzi huo watafuteni wapuuz wa kuuamin
watu wanapiga kazi kupambana na ufisadi nyinyi mnaendeleza propaganda za kifedhuli
wapuuz wakubwa,badala ya kutupia macho kwa wezi waliowaibia fedha zenu nyinyi mnatupia macho siasa za majitaka
Baada ya kazi nzuri ya ESCROW nilijua tumemrudisha Zitto kundini. kumbe dogo bado hajaeleweka!
Ana umimi sana huyu dogo!
Nilidhani ZZK yupo makini hasa baada ya misukosuko katika safar yake ya kisiasa iliyompata kumbe bado utot na kutaka sifa binafsi kuamuandama
Umeusoma vizuri huo uzi mkuu!? rudia tena halafu linganisha na ulicho kiandika.
Hata wewe waonekano zako ni za kuazima.
Hamjakutana na maraisi madikteta, usingekuwa unaropoka hapa ovyo, unasema nimuulize Wasira kwani yeye ndio ccm? Shukuruni Kikwete sio dicteta.
Prof. Lipumba ambaye ni wenyekiti wa chama cha wananchi Cuf amekerwa na tabia isiyo ya kinidhamu wala staha iliyofanywa na mbunge wa kigoma kasikazini Bwana Zitto Kabwe,
Katika kikao cha dharula alichokiitisha usiku ule wa mkutano baada ya kumaliza kuhutubia, alitufokea viongozi wa Mtwara kuhusu alichokiona katika mkutano, alisema aliwaona wanachama wa ACT-Tanzania wakiwa na mavazi yao na bendera zao akahoji kwanini tuliwaalika wakaja wakiwa na bendera zao na kuzichomeka hewani?
Mmoja wetu aliinuka na kujibu vizuri kuwa wale vijana tuliwakamata baada ya kuwaona na bendera hizo katika viwanja vyetu, tulipotaka kuwapeleka polisi mmoja wao aliyejitambulisha kwa jina la Kaila alisema yeye ni afsa habari wa chama chao taifa,
Akadai kuwa walialikwa na zitto kuhudhuria mkutano ule,na wamekuja kwa gari lake alilowapatia waje nalo, Mh Mwenyekiti tunakuomba radhi sana kwa uliyoyaona pale uwanjani, wale vijana hatukuwaita sie, aliyewaleta toka dar es salaam ni swahiba wako uliyeongozana nae Zitto Kabwe, hata gari walilokuja nalo ni lake kawapatia
Lakini pia prof. lipumba alidai kuwa zitto hana heshima hata kidogo kwa sababu tumemwalika sisi katika jukwaa la chama chetu, amekosa jukwaa la kuhutubia siku nyingi, leo tumempa fadhila lakini ametufanyia vitimbi, amekodi mpaka waandishi wa habri wake bila hata kuniambia, kumbe hata wafuasi wake amewagharamikia waje wakiwa na bendera na mavazi ya chama kingine katika mkutano wetu?alihoji Prof. Lipumba
Mbona asitumie jukwaa la hicho chama cha wapambe wake? ikiwa ana unafiki wa namana hii basi hafai kupewa hifadhi kabisa alimalizia Prof. Lipumba
Tarehe 31/12/2014 chama cha wananchi cuf kilifanya mkutano wake katika viwanja vya mashujaa hapa mjini Mtwara ambapo zitto kabwe alikuwa mgeni mwalikwa, pia watu wanaodaiwa kuwa wafuasi wa zitto walivamia mkutano huo wakiwa na bendera na mashati yenye chama kingine ambacho hakikuwa na makubaliano ya kufanya mkutano pamoja na cuf..
Akina muhongo ni wengi sana nchi hiiPole sana, I am an Engineer, acha kuchekesha watu na hapa jamvini nimeishatumia sana jina langu kwa muda mrefu na baadae kuomba kubadilisha, usisahau pia ni Lecturer UDSM
ona sasa
likely niko hu,u tangu 2008, umeingia 2010
sorry hutaona nasoma post zako wala kukujibu unaingia directly kwa I.L
Mkuu vicha.a kama hao akina Khantwe ndio wale wale ukubwa wa kichwa tu lakn hakuna kitu
Uwepo wa ACT uwanjani hapo bado hau-justify mahusiano ya zzk na chama hicho. Kwanza zzk ni mwanachama wa Chadema kwanini apigie debe ACT.
bado naamini zzk ni mmoja kati ya viongozi
vijana mahili. Uwepo wa ACT uwanjani hapo bado hau-justify mahusiano ya zzk na chama hicho. Kwanza zzk ni mwanachama wa Chadema kwanini apigie debe ACT. Najua watu wenye akili ndogo mmetekwa akili na vigogo ndani ya chadema wanaomuhofia Zzk. Tumieni akili mnapojadili sio mnakuwa na akili za kushikiwa!!
hivi na ile ya siku mnayoita ya valentine ni rangi ya aina gani? Achana na hizo akili za jirani
Kipi alichokifanya kwenye escrow zaidi ya ripoti iliyojaa matobo yaliyoacha maswali Mengi yasiyo na majibu mpaka sasa.
Akina muhongo ni wengi sana nchi hii
Kama ww ni lecturer si unajua wewe na mke wako labda na wanafunzi wako. Kama ww ni engineer ndo uwe na uvumilivu zero hapa. U engineer wako anaujua mke wako
Akina muhongo ni wengi sana nchi hii
Kama ww ni lecturer si unajua wewe na mke wako labda na wanafunzi wako. Kama ww ni engineer ndo uwe na uvumilivu zero hapa. U engineer wako anaujua mke wako