Prof. Lipumba ajitosa urais UKAWA

Prof. Lipumba ajitosa urais UKAWA

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
18,543
Reaction score
14,803
Uzinifu wa Slaa unakuwa defined kwenye kitabu kipi na aya ipi?

Na kwa nini 'uzinifu' wa Slaa uwe ndio kigezo cha kutokuwa Rais na unawaimbia mapambio wezi, wabadhirifu, makatili, wahuni wengi wengine? Kwenye kitabu gani na sura ipi pameandikwa mzinifu asiwe rais ila mwizi, mla rushwa, mwongo na fisadi ni sawa kwa Urais?

Kwangu mimi kiongoz hawez kuwa mzinifu.

Na kama kaz ya mungu ilimshinda atawezaje kuifanya kazi ya kuongoza taifa??

Padre slaa achukue time zake.
 
Hatuna hofu na mkristo.

Tusichotaka ni kuona Padre Askofu Sheikh Imam anakua rais wa nchi hii.

Hilo hatulitak.

Hao watu wabakie kuongoza ibada tuh.

Siasa waziache kwa wanasiasa.
Padre akiwa rais anakuwa Pope? Sheikh akiwa rais ndio nini? Mbona wakristo hawana tatizo? Woga huu waislam unatokana na nini? Wakristo hawawaogopi waislam, mbona nyie mna hofu sana na Wakristo? Mna agenda gani dhidi ya UKRISTO Tanzania?
 
Ni kweli Saccos inakufa na ina hali mbaya sana kwa sasa kuliko wakati na kipindi chochote kile. mzito muislamu safi lakini anayepiga tusker lager kaondoka na ushindi wetu, unakumbuka mwaka 2009 saccos ilishinda serikali za mitaa kwa 01% pekee? nasikia sasa hivi saccoss imeshinda kwa 35% kwenye uchaguzi wa SM.

Endeleeni kujenga saccoss yenu na nyie inayoitwa Agizo la Chama Tawala.

Unajifanya uelewi kwa nini sakosi inapata asilimia nyingi? Ushasahau saccos inapigiwa debe na maaskofu na wachungaji uoni mislam zzk alipotaka umwenyekiti akaitwa msaliti sababu tu ni muislam ba alimuunga mkono jk 2010 na muislam lipumba na cuf yake kuitwa mashoga na ccm b kisa tu kumtetea muislam mwenzao kikwete.
 
Hahahahahaha lipumba anataka kuitwa msaliti sasa,hajui kuwa ni kosa la jinai kutangaza nia ukiwa na ushirikiano na Chadema?Amuulize Zitto ndo atajua kuwa mbowe na slaa ni shida pale sakosini.

Tumia Akili mkuu,Washirika wa ukawa wote wana haki kutangaza nia ya uraisi,baada ya kutangaza jopo la ukawa linafanya vetting kumpata mmoja anayeweza kukamata bendera ya urais kutumia ukawa,sasa wasipotangaza nia si hakutakuwa na mshiriki wa uraisi kupitia UKAWA?
 
Mjadala na mtu mjinga asiye jitambua ni kupoteza tu wakati... Endeeleni
 
Kwa nini nyinyi mumnyime JK kura 2010 kisa tu ni muislam? Sisi hatuna woga bali hatutaki dhulma na ukandamizaji jua kwenye uislam ni haram muislam kukubali kudhulumiwa au kukandamizwa misingi mliyokaiasisi nchi hii na mwl. Nyerere ni kutukandamiza waislam sasa tukichoka hapatakarika ndicho tusichokitaka hicho.

Naona una jitekenya na kucheka mwenyewe umejisahau kuwa humu kuna manguli wa mantiki na kujua kuwa hata hii ni ID yako?

Labda ni kuulize swali.

Mtwara ndugu zako wamekula kichapo na kina mama kubakwa. Kama unachukia uonevu na ukandamizaji kilichokuweka DSm na usiende kuungana nao kutetea gesi uliyokuwa mstari wa mbele kuitetea hapa JF ni nini?
 
Prof. Lipumba

Ni sawa tu. Lipumba hana shida, akipitishwa na Ukawa tutampigia kura. Lakini hoja mtoazo dhidi ya Slaa ni hoja za kipuuzi, zimejaa ubaguzi usio wa lazima, hazijengi umoja wa kitaifa, zinawakwaza watu wa imani isiyo ya kiislam na zinakwamisha harakati za ukombozi.
 
Yule padri mwizi wa wake za watu hawezi kupata kura,toka lini mzinifu na msaliti wa dini akagombea jaman
 
sometime nacheka tu. LIPUMBA WILL NEVER NE A PRESIDENT OF THIS COUNTRY AS WELL AS SLAA... hivininyi mafikria ni mchezo tu? well angalau Dr SLaa Lipumba kiukweli tumeshachoka naye jaman miaka 25 yote unataka urais unazidi kuporomoka tu bado hujiwazii? hawa wasomi wetu mbona hawawazi kama wasomi? msomi angekuwa ameshajua kuwa wananchi hawamtaki.

Mkuu uwelewa wako na fikra zako ni ndogo tangia uzaliwe mpaka hapa ulipofika ulishawi kata tamaa kutafuta maisha bora ama kuacha kula kama bado ujue ndoto za jambo fulani hazishi mpaka uongie kaburini, namuunga mkono asilimia 100%
 
Huwezi kuwa na akili timamu ukaamini pro lipumba anaweza kuongoza tanzania. Huwezi. Utakuwa tayari akili yako imeathiriwa na vile virus vyetu vya ...........
 
Mvuto upi? Au unatafuta kuolewa! Hatuhitaji uzuri wa sura kwa upstairs Lipumba yuko juu kuliko watia nia wote watakaojitokeza Kupitia UKAWA.
 
Mvuto upi? Au unatafuta kuolewa! Hatuhitaji uzuri wa sura kwa upstairs Lipumba yuko juu kuliko watia nia wote watakaojitokeza Kupitia UKAWA.

Ukiona gamba au actccm wana-support jambo lolote lihusulo Ukawa, tilia sana mashaka support hiyo; ni hila za kishetani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom