CUF haijashuka ni chama ambacho kime maintain position ile ile ya mmiaka yoteSwali moja tu la msingi?
Kwa sifa zote hizo ni nini kimefanya ushindi wake kushuka kwa kasi kuanzia 2010 na nini kimefanya chama chake kupoteza mvuto kila kukicha pamoja na uprofesa wake?
Kamanda mbona umepanic ghafla hebu tulizana kunywa class moja ya rubisi au wanzuki kisha tulia kama dakika 5 hivi munkari utashuka kisha rudi kwenye mjadala wa Lipumba ukikasirika na akili ina ahama.
Pole sana kamanda wa ukweli.
CUF haijashuka ni chama ambacho kime maintain position ile ile ya mmiaka yote
tofauti na iyo saccos ya mtei
Ni sawa tu. Lipumba hana shida, akipitishwa na Ukawa tutampigia kura. Lakini hoja mtoazo dhidi ya Slaa ni hoja za kipuuzi, zimejaa ubaguzi usio wa lazima, hazijengi umoja wa kitaifa, zinawakwaza watu wa imani isiyo ya kiislam na zinakwamisha harakati za ukombozi.
muda si mrefu atafukuzwa UKAWA
Labda marekani ya nyumbani kwenu matombo. Clinton alifanywaje?marekani kipimo cha urais ni familia yako kama umeshidwa kuongoza familia yako tu hawakupi urais hata kama unasifa nyingine zote, maana yake hautoshi,hautaongoza bali utaongozwa japo wewe ni rais.
muda si mrefu atafukuzwa UKAWA
sometime nacheka tu. LIPUMBA WILL NEVER NE A PRESIDENT OF THIS COUNTRY AS WELL AS SLAA... hivininyi mafikria ni mchezo tu? well angalau Dr SLaa Lipumba kiukweli tumeshachoka naye jaman miaka 25 yote unataka urais unazidi kuporomoka tu bado hujiwazii? hawa wasomi wetu mbona hawawazi kama wasomi? msomi angekuwa ameshajua kuwa wananchi hawamtaki.
hahahahaha..... Mkimsimamisha lipumba ntampa kura , lakini padre slaa NO THANK YOU!
Bila shaka utakuwa umetiwa kidole kwanza kabla ya kuanika huu utumbo wako hapa.Mfikishien ujumbe padre slaa.
Kuwa nchi hii haiwez kuongozwa na mtu mwenye laana la mungu kama yeye.
Amemuasi mungu.
Taifa hili halihitaji laana.
Hilo hulitaki wewe na nani? Ni udini tu ndio unaokutafuna.Hatuna hofu na mkristo.
Tusichotaka ni kuona Padre Askofu Sheikh Imam anakua rais wa nchi hii.
Hilo hatulitak.
Hao watu wabakie kuongoza ibada tuh.
Siasa waziache kwa wanasiasa.
ladies and gents.
Friends and our enemies.
Nachukua muda wangu kumpongeza profesa nguli wa uchumi ndug ibrahim lipumba kwa kutangaza nia yake mapema ya kuwania urais kupitia ukawa.
Nachukua nafasi hii kumpongeza na kama tunavyojua wilbroad slaa itambidi asubiri tu kwani hana cv ya kumzidi prof lipumba.
Ukawa mkae mkijua kwamba kama hamtampitisha lipumba basi ni bora tukose wote.
Full stop.