diana chumbikino
JF-Expert Member
- May 29, 2018
- 428
- 368
Chama cha wananchi hakiwezi kugeuzwa genge la mafisadiHuyu mzee anatia kinyaa,kama kaamua kuunga mkono ccm,bora angeomba JPM ampe shughuli nyingine,hii anayofanya inamdhalilisha kabisa
Rubish
Fisadi wa 1.5 trilion! 2.4?? trilChama cha wananchi hakiwezi kugeuzwa genge la mafisadi
hili jitu si kuna kesi ya kulikataa kuwa siyo M/Kiti?
Hii ngoma bado sana!
Waingereza husema, ''The one who laughs last, laughs best''
Who will laughs best kati ya Kambi ya Maalim Seif na Prof, Lipumba?
Sahihi kabisa mkuu, anaaibishwa buree na darasa la saba na form four....Huyu mzee anatia kinyaa,kama kaamua kuunga mkono ccm,bora angeomba JPM ampe shughuli nyingine,hii anayofanya inamdhalilisha kabisa
Rubish
Genge la mafisadi ni CCM mkiongozwa na Jiwe mwizi wa trl 2.4Chama cha wananchi hakiwezi kugeuzwa genge la mafisadi