Prof. Lipumba afanya Mabadiliko, Ateua Bodi mpya

Lipumba ni mfano mzuri wa mwanasiasa aliyefeli na sasa anachofanya ni uwekezaji tu kwa kisingizio cha uanasiasa, hana maana kabisa huyu.

Ukiangalia vizuri hawa maprofesa, ni watu wazuri tu ktk yale mambo aliyosomea lkn unapowaweka nje ya taaluma zao wanakuwa ni watu bogus ni hakuna mfano.
 
Back
Top Bottom