Prof. Lipumba afanya Mabadiliko, Ateua Bodi mpya

diana chumbikino

JF-Expert Member
May 29, 2018
428
368
Prof. Ibrahim Lipumba ambae ni mwenyekiti wa Chama cha CUF ametangaza rasmi Bodi yao ya wadhamini katika ofisi za chama hiko zilizopo Buguruni jijini Dar es salaam.

 
Hii ngoma bado sana!

Waingereza husema, ''The one who laughs last, laughs best''

Who will laughs best kati ya Kambi ya Maalim Seif na Prof, Lipumba?
 
Ibraheem Haroun Lipumba Ni msomi wa aina yake Sana

Anajua Sana kupiga hesabu Za Kisiasa vyema

Ile kesi ya Ally Saleh kuhusu uhalali wa Bodi ipi itambulike imerahisisha ushindi wa CUF asili
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom