Ameshatoa ushauri gani hapa Tanzania? Nini ambacho ameshafanyia nchi yake ili tumkumbuke kama mchumi?

Labda akiwa huko atapata akili kidogo ili aache kung'ang'ania kugombea urais pamoja na kushindwa mara nne mfululizo!

cuf si Lipumba wala seif sharif, CUF ni taasisi. yupo mtatiro.
Labda akiwa huko atapata akili kidogo ili aache kung'ang'ania kugombea urais pamoja na kushindwa mara nne mfululizo!
Ameshatoa ushauri gani hapa Tanzania? Nini ambacho ameshafanyia nchi yake ili tumkumbuke kama mchumi?

Labda akiwa huko atapata akili kidogo ili aache kung'ang'ania kugombea urais pamoja na kushindwa mara nne mfululizo!
Hakiwa kama mshauri wa rais wa awamu ya pili alileta mafanikio yapi?

Hata mimi nimeshangaa watu wanamsifu, kama alikosa kitengo anachokitaka kwa uimara wake wa uchumi angechukua chaki aimarishe vijana. Huko kata wanapiga makelele hawana walimu, nyinyi mnasema ni mwanauchumi. Aliitumia elimu yake wapi hapa tanzania zaidi ya kipiga tarumbeta la urais.

Umeongea vizuri sana mkuu, lakini hapo kwa Mtatiro umechemsha. Kama ndugu zangu wa CUF mtakuwa mnamtegemea Mtatiro basi mtaua chama. Jamaa anaongozwa na emotions na sio busara. Ye kwake fujo, maandamano yasiyo na tija ndo siasa. Ulizeni walofanikiwa kusoma nae wawapeni habari zake. Me nmesoma nae mlimani.

Halafu kuna watu eti hudanganyana vijiweni elimu hailipi. Jamani uwe kichwa kama lipumba utalala njaa?
Prof Ibrahim .H. Lipumba amerejea kutoka igunga ambapo alikuwa anamfanyia kampeni na kumnadi mgombea wa chake cha CUF ambapo amemaliza siku zake za kampeni alizopangiwa na chama na anatarajiwa kuondoka wakati wowote kuanzia Leo kuelekea uswissi ambapo ameitwa na kupewa mkataba wa mwaka mmoja na nusu kama mshauri wa uchumi. watanzani tunakutakia kazi njema.
Penye RED: Nabii akubaliki kwao. JK ajawai hata siku moja kutaka ushahuri kwake.

Haya Chama anamwachia nani ? Au uenyekiti kesha achana nao ?
Ameshatoa ushauri gani hapa Tanzania? Nini ambacho ameshafanyia nchi yake ili tumkumbuke kama mchumi?