Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,904
- 7,746
Kiukweli sitatizwi kabisa na myopic wote waliokuwa blindfolded na mapenzi yao kwa chama, huku wakiwaabudia watu wasio na uwezo, kwa kuwanyooshea vidole vya usaliti wenye uwezo wowote!.
Angalia kwenye safu yenu yote!, nani ana vigezo na viwango vya kumkaribia huyu jamaa?!.
Kama usaliti ni ule waraka, nimewatetea 100 times, haukuwa waraka wa usaliti wala wa mapinduzi bali a "winning coalition!".
Tena shukuruni sana ZZK ameamua kuifuta kesi kwa ridhaa yake na kujifungashia na kujiondokea, vinginevyo...
2015 sijui mngekuwa wageni wa nani?!.
Pasco
Pasco ameanza kuwa mzigo hapa jf.
Last edited by a moderator: