Prof. Kitila Mkumbo arejea rasmi CCM

Wapinzani wako wachache sana. Wengine ni wana taarifa wa haya na yale.
 
Hata wewe una njaa, leo itokee Rais akuteue ukuu was wilaya upo tayari kubadili mwelekeo tusidanganye. Kila mtu hapa duniani yupo kwanza kwa maslahi binafsi kwa kati 50% hadi 75%, halafu maslahi ya wengine.
 
...
Serikali gani ingemfukuza Ualimu UD wakati Chama kinachoendesha hiyo serikali ndicho kilikua kikifaidika na kunufaika kwa "mission" zake alizokua akizifanya akiwa kwenye vyama vingine??
What about baregu?!
 
Siku wakimuondolea cheo atarudi tena upinzani. Muda utasema.
 


[emoji848][emoji848][emoji848][/QUOTE]
CHADEMA nitaendelea kuwasifu sana, wanajua kuchambua makapi na mazima, walimhisi tangu enzi na enzi
 
Kurejea CCM au chama chochote sio issue ni sawa na kuhama chumba tu. Kurejea nchini baada ya kukaa diaspora ni issue zaidi kwa sababu kunaweza kuwa na faida.
 
CCM naona kila siku inapokea watu na akili zao ambao wameamua kuachana na SACCOS zile
Ni kweli ni SACCOS za watu, ukileta fyoko unafungashiwa virago vyako. Ogopa chama kinacholamba matapishi yake ni hatari sana, wenye uelewa wanatafakari na kujiondoa haraka "MASHA".
 
Ndo maana alikatishwa mkataba wake baada ya kua siriaz upinzan
Usipotoshe. Baregu kaanza active politics immediately baada ya vyama vingi kuanza.
Unachoongelea kukatishwa mkataba ni baada ya kuvuka umri wa kustaafu kwa lazima.
Nani anawahitaji hawa social scientists hadi tuwape mikataba post their retirement limits?!
 
Rudia kusoma ulichoandika epuka madhara ya kuchangia ukiwa tumbo wazi
 
Baada ya kushindwa kwa mission yake ya kuiua CHADEMA ameamua kurejea alikotoka.

Kila la heri lakini ukumbuke kila kazi ina malipo yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…