Unajua succession plan inahitaji kuwa na sifa na uzoefu ila kwenye academia inaendena na sifa ili uwe lecturer lazima uwe na doctoral degree no shortcut na ili uwe senior lecturer lazima uandike papers kadhaa ziwe reviewed na upate points zinazotakiwa ndipo upande si rahisi km kada nyingine. Kwa hivyo ili tupate km kina kabudi we need investment ili watu wakasomeKwani hivyo vyuo havina SUCCESSION PLAN? Haviandai watu wa kushika nafasi iwapo mmoja akiondoka aliye chini apande? Hivyo vyuo vina tabia ya one man show kwenye vitivo ?
Ki..za ww, prof kitilla bado anaendelea kufundisha udsm pamoja na kwamba ni mshauri mkuu wa ACT Wazalendo.Mbona yeye anashinda ACT wazalendo? Anatafuta kiki huyo ni wivu
with thousands of fresh graduates every year, a reasonable number of them qualifying for lecturing at universities i do not see any problemsWana jamvi Salaam
Mhadhiri Muandamizi wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam, Prof. Kitila Mkumbo amemshauri Mh Rais Magufuli aache kuteua Wahadhiri katika nafasi za kisiasa ama majukumu mengine kwa kuwa vyuo vikuu vimeanza kukabiliwa na uhaba wa wahadhiri baada ya wengi wao kupewa teuzi mbalimbali.
Aidha Prof Kitila amesema vyuo vikuu vilivyoathirika zaidi baada ya wengi wa wahadhiri wake kuteuliwa ni Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) na Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM).
Chanzo: Tanzania Daima
Wana jamvi Salaam

Succession plan ya kumfanya MTU kuwa senior lecturer kwa ghafla au umelala?Kwani hivyo vyuo havina SUCCESSION PLAN? Haviandai watu wa kushika nafasi iwapo mmoja akiondoka aliye chini apande? Hivyo vyuo vina tabia ya one man show kwenye vitivo ?
Usiulize maswali ya kijinga..Yeye akiteuliwa ATAKATAA?
Mjinga mazako pambafuuuu!acha unafiki na wivu kelubuUsiulize maswali ya kijinga..
very true.>>>Tanzania tuna vijana wengi nao wanahitaji AJIRA..Sio lazima achukue hao wazee.
One man show?!Kwani hivyo vyuo havina SUCCESSION PLAN? Haviandai watu wa kushika nafasi iwapo mmoja akiondoka aliye chini apande? Hivyo vyuo vina tabia ya one man show kwenye vitivo ?
Hiyo ndo maana yake mkuu. Vyuo vyetu huwa haviandai mtu wa kushika nafasi ya aliyepo kwa makusudi. Huwa wanajenga taswira ya kuwa mtu huyo ni wa kipekee na muhimu sanaaaa ili hata umri wa kustafu ukifika asistaafu aendelee kuongezewa miaka ikibidi afie kwenye madaraka/position yake. Hata kama atakuwa kishachoka lakini huwa hawataki kung'atuka kwenye ofisi.Kwani hivyo vyuo havina SUCCESSION PLAN? Haviandai watu wa kushika nafasi iwapo mmoja akiondoka aliye chini apande? Hivyo vyuo vina tabia ya one man show kwenye vitivo ?
Hoja hapa siyo kukataa au kukubali. Hoja je ni kweli kuna athari mbaya kwa teuzi hizi? Jenga hoja yako kwa mtazamo huu.Yeye akiteuliwa ATAKATAA?
Ha ha ha umemkomalia.,huyo nae yupo chuo kikuuMechancal? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aache Umbea huyu jamaa.Kwani hajui kwamba wao ndio huwa wanashauri vitu haviwezekani.Wapande jukwaani wakawaonyeshe watanzania kwamba wanavyoshauri vinawezekana?Wao wanavijua vyema au ni longo longo tuu.Na si kwamba wengine ndio wanakosea maelekezo?Wana jamvi Salaam
Mhadhiri Muandamizi wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam, Prof. Kitila Mkumbo amemshauri Mh Rais Magufuli aache kuteua Wahadhiri katika nafasi za kisiasa ama majukumu mengine kwa kuwa vyuo vikuu vimeanza kukabiliwa na uhaba wa wahadhiri baada ya wengi wao kupewa teuzi mbalimbali.
Aidha Prof Kitila amesema vyuo vikuu vilivyoathirika zaidi baada ya wengi wa wahadhiri wake kuteuliwa ni Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) na Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM).
Chanzo: Tanzania Daima
Yeye kuwa ACT ni tofauti na ubunge uanachama wake hakumnyimi kutumikia majukumu yake Chuoni lkn ubunge kwa kiasi kikibwa utakuwa unashughulika sana na masuala ya kitaifa,mfano binge la budget likianza linachukua all most 3 months.Mbona yeye anashinda ACT wazalendo? Anatafuta kiki huyo ni wivu
Yeye yupo ACT wazalendo