Makamu wa rais yuko wapi kumsindikiza? Halafu hiyo picha ya kwanza mbona kama dari hapo alipo limefumuka na linaweza kumdondokea. Hata hivyo nakutakia safairi njema Profesa wangu unajiendea nyumbani kwako halafu watu wanalalamika. Wanataka uende Somalia au Syria? Siku moja moja unistue nikusindikize mkuu wangu. Ila wife simuoni utakuwa na nani muda wote huko marahani?!