Safari za Kikwete zina manufaa sana.kwa Taifa
Mkuu Mzito K, angalia usije kuiponza jf, mkuu wa nchi kasafiri kwa safari muhimu ya kitaifa yenye maslahi kwa nchi yetu, wewe unamsingizia, amesafiri ili tuu, kwenda kupata huduma za kijamii?!. Tujuavyo sisi anaye mmoja tuu na ndiye anayetambulika officially, kitendo cha kumsingizia hayo mkuu wetu wa nchi, ni kumdhalilisha, kumvunjia heshima na kumshushia hadhi yake mbele ya jamii ya jf, kuonyeshea, kuwa japo zamani alikuwa ni "muzeiye wa michepuko!", unamaanisha hata baada ya kuingia pale "mahali patakatifu", bado anaiendeleza michepuko yake, ila kuepuka kupanajisi patakatifu pale, hiyo michepuko yake sasa ndio anaiendeshea kwa Obama?!.Oh Please tafadhali!.Pasco
Nyerere mwenyewe ana laana na sasa yuko jehannam.
Ana jeuri ya kumlaani nani yule mchonga meno?
Laaana hiii unayoiona ndani ya taifa hili chanzo ni nyerere.
Simple logic ni kwamba.
Bila laana ya nyerere isingewepo ccm.
Na bila ccm asingewepo kikwete kama rais leo hii.
Hence proved that source ya laana ndani ya taifa hili ni Nyerere.
Tujadili Ki uhalisia na kwenye hili jambo tuweke siasa pembeni,Tuongee kuhusu nchi yetu na watu wake wanaokufa kwa kukosa dawa na matibabu sahihi,Lakini kinachoshangaza umma wa wa tanzania ni kuwa......Wakati hospitali kubwaa kubwaa hakuna dawa na vifo vikiongezeka nchini Tanzania. Mh Rais anakwenda kucheki afya Marekani.....Shame on you my president Prof Jakaya mrisho Kikwete.
Haja vunja constitution
Watu gani wanakufa?
Watu wengine wanapiga kelele eti kwanini rais aende kutibiwa marekani tezi dume wakati hapa hospitali zetu hakuna dawa na angeweza kutibiwa hapa hapa. Rais wakati anaondoka walisema anakwenda katika ziara binafsi kupumzika. Hivyo kwa uelewa wangu mimi najua kuwa rais anajigharimia kila kitu ikiwa ni pamoja na gharama za safari na matibabu yake kwa kuwa ni binafsi. Ndio maana hata wakati anaondoka aliagwa pale uwanjani na wafanyakazi wa uwanja wa ndege wakiwemo askari na wahudumu. Hata kule Marekani hatujasikia akipokelewa au kutembelewa na kiongozi yeyote wa kule ikiwa ni pamoja na rafiki yake Obama. Hivyo acheni mambo ya binafsi yawe ya binafsi hizi kelele mnazopiga kuwa eti anamaliza pesa za nchi si za kweli. Ninyi mnafikiri kila safari ya rais inagharimiwa na kodi zenu? Rais sio masikini kiasi ashindwe kugharimia safari zake binafisi na matibabu yake. Kuna mambo mengine ni ya rais binafsi. Hata wanaotangaza mapumziko na matibabu yake ni kimbele mbele tu kinawasumbua. Watu tunamtumia sms kumtakia heri na anajibu kibinafsi wala haina haja ya kupitia katika kurugenzi ya habari ya Salva. Get well sooner Mr. President!