Tusemeni ukweli ubishi ni kati ya vitu ambavyo vimekuwa kama utamaduni wetu. Tukikutana hata kwenye misiba kuna watu watatafuta kitu cha kubiashana tu. Huyu mzee ni hobby yake kubishana bila kujua wakati mwingine anabisha nini na kwa mafanikio ya nani.
Waziri wa mambo ya nchi za nje ni mtu mkubwa sana na anatakiwa kuleta wawekezaji, watalii, kuhimiza dispora wawekeze, kutangaza nchi na ni mwongeaji wetu wa nchi huko nje. Lakini huyu Prof amekuwa anaendeleza hobby yake ya ubishi kwenye kazi bila kupata matunda yeyote.
Ukiangalia vizuri kwenye mahojiano au maongezi badala ya kusaidia na kupeleka nchi mbele amekuwa ndiye mleta skendo kila siku kuanzia wataki wa madini. Kiongozi hasa kama huyu kila akipngea anatakiwa kuwa na plan kwamba je maongezi haya yananufaisha vipi nchi.
Mfano angeweza kusema tu kirahisi kwenye mahojiano kwamba kulikuwa na ugaidi kule na tunapigana kama nchi nyingine na ugaidi kwa kila namna watu wangemwelewa tu lakini amekuwa kila kitu akiongea ni kujigamba bila sababu ya msingi. Kama asikojifunza itakuwa vizuri abadilishwe maana ki kubwa tunataka kuoana matokeo ya maendeleo na inashangaza Magufuli angeweza kumweka Slaa au Masilingi na wangefanya vizuri kuliko huyu mzee.
Lakini ni fundisho tusipeleke hobby zetu na utamaduni zetu za ubishi kazini