Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,078
- 144,511
Miongoni mwa watu waliohudhuria shughuli ya kuapishwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU leo hii, Brigedia Jenerali John Julius Mbungo, ni Waziri wa Katiba na Sheria, Prof. Kabudi ambae pia ndio kiongozi wa jopo linaloiwakilisha Tanzania katika mazungumzo baina ya serikali na kampuni ya Barrick kuhusiana na issue ya makinikia
Sasa najiuliza sijui aliacha mazungumzo yanaendelea ndio akaenda kuhudhuria hiyo function?
Kama ni hivyo, sijui kama kweli tuko serious au ndio dalili kazi hiyo imeisha au inakaribia kuisha au ndio imeisha hata sielewi!
Au sijui wako break kwa sasa!
Anyaway, labda alikaa kwa muda mfupi na kisha kurejea kwenye mazungumzo.
Nawaza tu mwenzenu iwapo kuna serious negotiations zinaendelea alafu kiongozi unatoka kwenda kuhudhuria function ya kuapishwa kiongozi fulani.