johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,975
- 141,986
Zamani nilikuwa naamini mtu akiwa Prof. alikuwa anajua kila kitu.Mgogo na Kiswahili wapi na wapi?
Asili ya neno Fisadi ni neno la kiarabu yenye maana ya Haribifu
Hata kwny Qur an neno fisadi linatamkwa kama neno lenye kuashiria uharibifu katika Ardhi
Tatizo la huyu mipovu ni kuamini anajua kila kitu
Hahahaa....... Kwani kutongoza wake za watu siyo uharibifu?!Mgogo na Kiswahili wapi na wapi?
Asili ya neno Fisadi ni neno la kiarabu yenye maana ya Haribifu
Hata kwny Qur an neno fisadi linatamkwa kama neno lenye kuashiria uharibifu katika Ardhi
Tatizo la huyu mipovu ni kuamini anajua kila kitu
We muache tu ajishauwemwandishi wa habari yeye, nguli wa sheria yeye, mtaalamu wa kiswahili yeye.
kabudi wewe ni kiongozi mwandamizi serikalini na sio mhadhiri wa chuo, acha tabia ya ku 'behave' kama uko darani na watu wote ni wanafunzi wako, huku duniani kuna watu vichwa zaidi yako na wanakuchora tu unavyotema matango pori . Focus kwenye kazi yako mzee.
Hahahaa...... Kwani Prof Lipumba hajui kila kitu?!Zamani nilikuwa naamini mtu akiwa Prof. alikuwa anajua kila kitu.
Prof Kabudi ni mtaalamu wa lugha ya kiswahili pia!Ufisadi/Fasada/ุงูู ูุณุฏ ni uharibifu bila kujali wa aina gani,mzinifu ni fisadi maana anaeneza uharibifu katika jamii, mwizi ni fisadi maana anawadhuluma na anakula mali za watu kwa batili, kusengenya ni ufisadi maana maafa yaweza kutokea kwa sababu ya kusengenya, hivyo ufisadi ni kila aina ya uharibifu hukumu yake ni Ufisadi.
My take. Kabudi asitake kutupotosha wanataaluma wa lugha hii , nadhani anajishughulishe na sheria na siasa zake tu.
Fonolojia, fonetikia, semantikia, pragmatiki, foni, fonimu, alofoni, mofu, atuachie wenye navyo .
Eeeh hili la Afande maana yake ni mfiraji sijawahi kujua duhSasa anayetumia sana neno fisadi hadi akawaanzishia mahakama ni nani?
Sisi wengune tunaelewa vizuri tu maana ya Fisadi na tuliwahi kulijadili kipindi kile cha Yusuf Makamba alipokuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam.
Tunaelewa pia kuwa hata neno Afande maana yake ni basha au m.fira.ji